Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asimamishwa kazi kwa kumtumia JK ‘meseji’

>Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ASIMAMISHWA KAZI KWA KUMTUMIA JK ‘MESEJI’

Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba. Moshi.
Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete. Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu iliyotuma, kumeibua hisia tofauti kuhusu usiri wa ofisi ya Rais katika kushughulikia malalamiko nyeti ya wananchi na kuwaweka njiapanda watoa habari za siri. Mhumba, ambaye pia ni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mganga asimamishwa kazi kwa wizi wa dawa

court-hammer

Na Mwandishi wetu

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Mkoani Tabora wamependekeza kuwa Mganga wa    zahanati ya kata ya Sungwizi, Tarafa ya Nsimbo John Malaba asimamishwe kazi, kumfutia uhamisho aliopata wa kwenda makao makuu ya wilaya.

Licha ya kusimamishwa kazi baraza hilo pia limeamua kumfungulia mashtaka Mahakamani kwa tuhuma za wizi wa madawa ya binadamu yenye thamani ya shilingi 1,600,000/=.

Madiwani hao walifikia hatua hiyo baada ya kujibadili kutoka Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MTENDAJI TRL ASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MALIPO KINYUME CHA MKATABA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Reli nchini(TRL),Mhandisi Kapallo Kisamfu amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa malipo ya Sh. Bilioni 230 ya mabehewa ya Mizigo yenye kasoro pamoja na kufanya malipo ya mabehewa yote kabla ya kukamilika.
Akitangaza maamuzi hayo ya kusimimishwa kwa Mkurugenzi huyo leo jijini Dar es Salaam baada ya ripoti ya kamati iliyoundwa na Waziri wa Uchukuzi (ambaye sasa ni Waziri wa Afrika Mashariki), Dk. Harrison...

 

10 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI, ELIAKIM MASWI ASIMAMISHWA KAZI KWA MUDA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Eliakim Maswi. KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Waziri asimamishwa kazi kwa kushiriki chakula na rafiki yake A.Kusini

Waziri wa habari nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa miezi miwili mwezi mmoja bila mshahara kwa kupata chakula cha mchana na rafiki yake wakati huu ambao kuna amri ya kutotoka nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwenyekiti Korogwe asimamishwa kazi

Baraza la madiwani wilayani Korogwe vijijini wamemsimamisha aliyekuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo katika nafasi ya uenyekiti, Sadick Kallaghe kutokana na tuhuma mbalimbali zinazomkabili.

 

5 years ago

CCM Blog

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Dart asimamishwa kazi

Serikali imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka katika Jiji la Dar es Salaam (Dart), Asteria Mlambo kuanzia jana kwa sababu mbalimbali za kiutendaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi asimamishwa kazi Marekani

Polisi mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada kuonekana akihangaisha kundi la vijana

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani