Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI... MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?

ASSALAAM aleikum na Bwana Yesu asifiwe wapenzi wasomaji. Ninafurahishwa na jinsi mnavyoniunga mkono kunisoma na kunipa maoni yenu. Hakika nitaendelea kuwaelimisha kwa kila ninachoona kinafaa kuwafikia ili kuwekana sawa ndani ya maisha ya uhusiano. Leo nimekuja na mada hii; UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI...MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?
Mada hii inawahusu wapendanao wote. Wewe mwanamke na wewe mwanaume....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

 

10 years ago

GPL

KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku.
Karibu tena kwenye zulia la mahaba, mahali tunapojuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu suala zima la mapenzi. Leo ningependa kujadili na wewe msomaji wangu mada hii kama inavyojieleza. Je, kuna umuhimu wa wewe kupekua simu ya mwenzi wako? Unapata faida...

 

10 years ago

GPL

KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO?-2

“Ndugu mwandishi, nakupongeza kwa mada yako nzuri lakini nasikitika kwamba umeandika kwa kuegemea upande mmoja tu. Ni kweli siyo vizuri kupekua simu ya mwenzi wako lakini je, pale unapopekua na kufuma meseji za mapenzi kwenye simu ya mwenzi wako, nani mwenye makosa? Wewe uliyepekua au yeye anayekusaliti?” Nimeamua kuanza kwa staili tofauti leo, huo hapo juu ni ujumbe nilioupata kutoka kwa msomaji wangu mmoja baada ya...

 

10 years ago

Bongo5

Joell Ortiz anatuasa kwanini ni vibaya kukagua simu ya mpenzi wako kwenye video hii kali

Unatabia ya kukagua simu ya mpenzi wako na kusoma meseji anazotumiwa na kutuma? Joell Ortiz anatueleza kwenye video ya ngoma yake ‘Phone’ kwanini si kitu kizuri.

 

11 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mpenzi wako ‘kicheche’

NI matumaini yangu msomaji wa safu hii -mzima wa afya.  Leo nitaelezea jinsi ya kuzungumza na mpenzi wako pindi unapomuona anawatamani wasichana wengine pindi unapokuwa naye kwenye mkusanyiko wa watu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unaathiriki vipi simu yako ikiisha nguvu

Matumizi ya simu aina ya smartphones zilizo na programmu nyingi husababisha nguvu za betri kupungua kwa kiwango kikubwa

 

9 years ago

Bongo5

Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,unaweza kuvaa chupi ya mpenzi wako?

Chupi inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani