Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je unamwamini mpenzi wako kiasi gani?

Black-woman-white-man

Unamwamini mpenzi wako? Mfano ni huu hapa, Je anaweza kwenda likizo wakati wewe haipo likizo? Je unaweza kumruhusu kutoka na ex wake? Au ikitokea amekutana na ex wake mtaani kwa bahati mbaya na wewe ukiwepo unajisikiaje?

Black-woman-white-man

Au unaweza ukamwachia simu yako na usiwe na presha? Hayo maswali yanaweza kukujulisha akilini mwako ni kiasi gani unamwamini mpenzi wako. Kama humwamini mpenzi wako namna utakavyoitikia mambo hayo yanapotokea kuna ishara ambazo zitajulikana wazi kwamba humwamini hata kama...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KUNA UBAYA GANI KUFUATILIA NYENDO ZA MPENZI WAKO?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea nyema na maandalizi ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya. Mimi namshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo amekuwa akinitendea katika kila siku ya maisha yangu na nimuombe tu anijaalie niwe miongoni mwa wale watakaouona mwaka 2015 wakiwa wazima. Mpenzi msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kusalitiwa na wapenzi wao waliotokea...

 

11 years ago

GPL

ASICHOKIPENDA MPENZI WAKO, KUNA HAJA GANI KUKILAZIMISHA?

NI matumaini yangu kuwa umzima unaendelea vyema na majukumu ya kila siku kama kawaida. Mpenzi msomaji, hakuna kitu kizuri kama wapenzi waliotokea kupendana kwa dhati kuridhiana katika kila jambo. Tufahamu kwamba kutofautiana katika mambo ambayo yanagusa maisha hasa kwa wanandoa ni tatizo linaloweza kusababisha nyufa na furaha kutoweka. Mara kwa mara nimekuwa nikizungumza na watu walio kwenye ndoa, wengi wanaeleza kuwa kuna...

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Umehakikishiwa usawa kiasi gani?

Kwa kutumia kikokotozi hiki cha BBC, unaweza kujua hali ya pengo la usawa wa jinsia nchini mwako, na pale ulipo ukijilinganisha na wengine.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Uwezekano wa kufa ni mkubwa kiasi gani?

Makadirio ya tafiti za sasa, ni asilimia moja tu ya idadi ya vifo vya ugonjwa huo licha ya kuwa haijumuishi kila mmoja.

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa ameanza safari, ni ndefu kiasi gani?

>“Nimefarijika sana leo kuwaona hapa marafiki zangu wengi. Ninapowatazama hadi machozi yananitoka na kwa uwezo wa Mungu tutashinda kwani nyote mnajua nia na ndoto yangu…WanaCCM msiwe na shaka, tutavuka kwa nguvu zetu... Wingi wenu huu unanipa faraja katika safari yetu na kwa kumtegemea Mungu tutashinda.”  ni kauli ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya ina kiasi gani cha Uranium?

Wakaguzi wa silaha za nyuklia wa UN watatembelea Libya kukagua kiasi cha madini ya Uranium ,kilichohifadhiwa nchini humo, wakati huu kukiwa na wasiwasi wa hali ya usalama nchini Libya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Nchi za SADC ziko tayari kiasi gani kudhibiti virusi vya corona?

Mawaziri wa afya wa SADC waweka mikakati ya kukabiliana na virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je hali iko mbaya kiasi gani nchini Saudi Arabia?

Kuna wakati ilikuwa maarufu kwa kutotoza ushuru, Saudi Arabia lakini kwa sasa hivi imetangaza kodi ya ongezeko la thamani kuanzia asilimia 5 hadi asilimia 15 na pia kukatiza ruzuku inayotolewa kila mwezi kuanzia mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani