Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hapokei, wala hajibu meseji zangu

Shangazi niko kwenye uhusiano na msichana mmoja aliye mbali kwa sasa. Kinachonisibu ni kwamba, ni muda mrefu sasa hapokei simu yangu wala hajibu ujumbe ninaomtumia nifanyeje?

 

9 years ago

GPL

UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI... MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?

ASSALAAM aleikum na Bwana Yesu asifiwe wapenzi wasomaji. Ninafurahishwa na jinsi mnavyoniunga mkono kunisoma na kunipa maoni yenu. Hakika nitaendelea kuwaelimisha kwa kila ninachoona kinafaa kuwafikia ili kuwekana sawa ndani ya maisha ya uhusiano. Leo nimekuja na mada hii; UNAPIGIWA SIMU HUPOKEI, UNASONYA...UNATUMA MESEJI...MPENZI WAKO AKUELEWE VIPI?
Mada hii inawahusu wapendanao wote. Wewe mwanamke na wewe mwanaume....

 

10 years ago

GPL

DALILI 5 KWAMBA MPENZI WAKO ANA WA KUMCHUNA!

Mapenzi ya sasa yamejaa usanii wa hali ya juu. Wapo wanaume ambao wana wapenzi wao lakini ukiwafuatilia utagundua wana ‘mashuga mami’ ambao wanawapa jeuri ya fedha. Ukiachilia mbali hao wanaume, wapo mabinti ambao licha ya kuwa na wapenzi wao wanaowapenda, pembeni wana wanaume wa kuwachuna.Utajuaje kama wa kwako naye ana mtu anayemchuna? Dalili hizi 5 ni kati ya nyingi zinazoweza kukupa mwanga. Ana simu zaidi ya...

 

10 years ago

GPL

KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!

Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara.  Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...

 

10 years ago

GPL

UTAMJUAJE MCHUMBA WAKO KAMA ANA MAPENZI YA DHATI?

WAPENZI wasomaji wa safu hii bila shaka mko poa na mnaendelea na shughuli za kila siku. Kama kawaida ni Jumamosi nyingine tunakutana katika safu hii kuweza kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Bila kupoteza muda, mada iliyopo hapo juu inajieleza. Ni wengi sana wameumia kwa kumpenda mtu asiyekuwa na penzi la dhati. Raha ya mapenzi, wapendanao mpendane, mheshimiane na kweli muoneshe kutoka moyoni kwamba mna...

 

9 years ago

Bongo5

Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo

shishi nw

Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

shishi nw

Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...

 

10 years ago

GPL

KUNA UMUHIMU WA KUPEKUA SIMU YA MPENZI WAKO

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuiona siku hii ya leo. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku.
Karibu tena kwenye zulia la mahaba, mahali tunapojuzana, kuelimishana na kubadilishana mawazo kuhusu suala zima la mapenzi. Leo ningependa kujadili na wewe msomaji wangu mada hii kama inavyojieleza. Je, kuna umuhimu wa wewe kupekua simu ya mwenzi wako? Unapata faida...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani