Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAMJUAJE MCHUMBA WAKO KAMA ANA MAPENZI YA DHATI?

WAPENZI wasomaji wa safu hii bila shaka mko poa na mnaendelea na shughuli za kila siku. Kama kawaida ni Jumamosi nyingine tunakutana katika safu hii kuweza kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Bila kupoteza muda, mada iliyopo hapo juu inajieleza. Ni wengi sana wameumia kwa kumpenda mtu asiyekuwa na penzi la dhati. Raha ya mapenzi, wapendanao mpendane, mheshimiane na kweli muoneshe kutoka moyoni kwamba mna...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

 

10 years ago

GPL

KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!

Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara.  Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...

 

11 years ago

GPL

UTENDEE HAKI MOYO WAKO, UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI!

HEBU jiulize kwa nafasi yako hapo ulipo, unautendea haki moyo wako? Mpenzi uliyenaye unampenda au unajilazimisha kuwa naye?
Somo la leo litakupa mwanga wa kujua haki ya moyo na tamaa za mwili wako ni kipi sahihi kutendewa haki. Elewa kuwa mapenzi ni sehemu ya maisha yetu na kwa hakika maisha yetu hayawezi kukamilika bila kuwepo mapenzi.Ninapozungumza juu ya mapenzi namaanisha yale yanayotoka moyoni mwa mtu mmoja kwenda kwa...

 

11 years ago

GPL

KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?

NDUGU zangu, mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna anayeweza kusimama na kusema, hataki kujihusisha nayo kwa namna yoyote, akijitokeza huyo atakuwa na matatizo ya akili. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammisi, lazima utahisi kupungukiwa kitu fulani muhimu katika maisha yako. Lakini...

 

11 years ago

GPL

UTENDEE HAKI MOYO WAKO UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI! - 2

TUNAENDELEA kujifunza kuhusu hisia, kupenda na kuutendea haki moyo. Marafiki zangu, moyo ndiyo wenye ukweli wa wapi unapenda lakini akili huongoza na wakati mwingine kulazimisha. Wakati mwingine wapo watu ambao wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano kwa kujilazimisha tu; kuangalia matamanio ya kawaida ya kibinadamu ambayo kimsingi huongozwa na akili na utashi.
Hilo ni jambo baya ambalo, mwisho wake husababisha matatizo makubwa....

 

10 years ago

GPL

DALILI 5 KWAMBA MPENZI WAKO ANA WA KUMCHUNA!

Mapenzi ya sasa yamejaa usanii wa hali ya juu. Wapo wanaume ambao wana wapenzi wao lakini ukiwafuatilia utagundua wana ‘mashuga mami’ ambao wanawapa jeuri ya fedha. Ukiachilia mbali hao wanaume, wapo mabinti ambao licha ya kuwa na wapenzi wao wanaowapenda, pembeni wana wanaume wa kuwachuna.Utajuaje kama wa kwako naye ana mtu anayemchuna? Dalili hizi 5 ni kati ya nyingi zinazoweza kukupa mwanga. Ana simu zaidi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani