Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?

NDUGU zangu, mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna anayeweza kusimama na kusema, hataki kujihusisha nayo kwa namna yoyote, akijitokeza huyo atakuwa na matatizo ya akili. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammisi, lazima utahisi kupungukiwa kitu fulani muhimu katika maisha yako. Lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTENDEE HAKI MOYO WAKO, UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI!

HEBU jiulize kwa nafasi yako hapo ulipo, unautendea haki moyo wako? Mpenzi uliyenaye unampenda au unajilazimisha kuwa naye?
Somo la leo litakupa mwanga wa kujua haki ya moyo na tamaa za mwili wako ni kipi sahihi kutendewa haki. Elewa kuwa mapenzi ni sehemu ya maisha yetu na kwa hakika maisha yetu hayawezi kukamilika bila kuwepo mapenzi.Ninapozungumza juu ya mapenzi namaanisha yale yanayotoka moyoni mwa mtu mmoja kwenda kwa...

 

11 years ago

GPL

UTENDEE HAKI MOYO WAKO UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI! - 2

TUNAENDELEA kujifunza kuhusu hisia, kupenda na kuutendea haki moyo. Marafiki zangu, moyo ndiyo wenye ukweli wa wapi unapenda lakini akili huongoza na wakati mwingine kulazimisha. Wakati mwingine wapo watu ambao wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano kwa kujilazimisha tu; kuangalia matamanio ya kawaida ya kibinadamu ambayo kimsingi huongozwa na akili na utashi.
Hilo ni jambo baya ambalo, mwisho wake husababisha matatizo makubwa....

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

10 years ago

GPL

UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?

SIKU zinakimbia kwelikweli kuelekea mwisho wa mwaka, dunia ikijiandaa kwa ajili ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, yapata zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Wenyewe wanaita Krismas. Ni kipindi ambacho pia akina baba wanapunguza idadi ya michepuko kutokana na wingi wa mahitaji na akina mama nao wanaongeza orodha ya ATM ili wanone zaidi!
Uongo? Kama utaamua kunikatalia sitakulaumu kwa sababu huenda wewe ni mmoja...

 

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?

BILA shaka ni wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nawashukuru sana kwa kuchagua kusoma safu hii maana hakuna kitakachopotea, zaidi mtaongeza ujuzi juu ya uhusiano na mapenzi. Mada ya wiki iliyopita ilikuwa na changamoto sana kwa wasomaji, nilipokea simu, waraka pepe na ujumbe mfupi wa maneno kwa wingi sana kutoka kwa wasomaji mbalimbali wakichangia mada ambayo kimsingi ilizungumzia zaidi wanawake....

 

11 years ago

GPL

UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2

KARIBUNI katika Let’s Talk About Love. Bila shaka mu wazima wa afya. Tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita. Somo hili ni muhimu sana kwa wapendanao kujua ahadi ambazo zinaweza kuwa na nakshi katika mapenzi na zile ambazo huleta migogoro katika uhusiano. Niliacha kwa kueleza machache wiki iliyopita. Ahadi zenyewe ni zipi na zinakuwaje? Tuendelee na somo letu? UWEZO WA FAMILIA
Baadhi ya wanaume wanapokutana na...

 

10 years ago

GPL

MADHARA YA KUMUACHA MPENZI WAKO KWA KUMFUMANIA!

Mpenzi msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda. Hata hivyo, kuna ambayo kuyavumilia inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hebu vuta picha, unaingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako unaamini ni mpenzi sahihi, unampenda, unamheshimu na kumjali lakini siku moja unamfumania na mtu mwingine. Hivi kama ni wewe utaumia kwa kiwango gani? Ninavyojua maumivu yake...

 

11 years ago

GPL

USITOE THAMANI YA MPENZI WAKO KWA MWINGINE!

UMEFUNGUA ukurasa sahihi kabisa wa kukupatia elimu juu ya uhusiano na mapenzi. Karibu mpenzi msomaji wangu katika All About Love ambayo kila siku inaibuka na mada nzuri zinazolinda uhai wa uhusiano na wenzi wetu. Marafiki leo nitazungumzia juu ya jambo muhimu sana ambalo limekomaa kwenye jamii yetu. Ni jambo linaloweza kusababisha matokeo mabaya kwenye uhusiano lakini kwa bahati mbaya wengi hawalioni.
Wengi (hasa wanawake)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani