UTENDEE HAKI MOYO WAKO UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI! - 2
![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yLhNIms1C5*9w9FVMKEVcfGTLCbfdJFTMTwhe*QpPDLXLWsOi6Wr97t5WAeKA203WBczK-jtn3Fxed6T26WE1ly/mahaba.jpg)
TUNAENDELEA kujifunza kuhusu hisia, kupenda na kuutendea haki moyo. Marafiki zangu, moyo ndiyo wenye ukweli wa wapi unapenda lakini akili huongoza na wakati mwingine kulazimisha. Wakati mwingine wapo watu ambao wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano kwa kujilazimisha tu; kuangalia matamanio ya kawaida ya kibinadamu ambayo kimsingi huongozwa na akili na utashi. Hilo ni jambo baya ambalo, mwisho wake husababisha matatizo makubwa....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3dD0KCqautsEWm2M6YfwR**lucQIueSsHMku*vUv*lFUCkaZjixMfh3beDmKguMffIfsS9MPEHYFiPaYMIU*xTw/mahaba.jpg?width=650)
UTENDEE HAKI MOYO WAKO, UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-6Yn6cOS7K7pZSbnCuwl-fzE278dcWQ9ks1d6DzPgAuWTL-8cGOsPTp3Nu7lnBxmXF3EOtCRVA963THAi4nyIuC/mahaba.jpg?width=650)
KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbjoohTPjiKnLMvBPO0bfmBFgiGawPpHHgTZ6RJi4Aw96nqDOPHLbuf9f03-*iKUZhKFsRqnQ0-1G7FE3uD7NaiF/mahaba.gif)
UTAMJUAJE MCHUMBA WAKO KAMA ANA MAPENZI YA DHATI?
9 years ago
Michuzi29 Dec
10 years ago
CloudsFM04 Apr
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cqfvi-t9Crdmtc7DkWRtlSw9JZND5CCQ0NLTOYsFs7RrGyjOCqU-n9w4Ap0qDnYT0z1gKnaZLt4PjYcDGEaJoN1/MAHABA.jpg)
USIRUHUSU MAPENZI YAUTESE MOYO WAKO - 2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ToQMaI9f*6J64RcttYEdZ8tfZ3AnSxRjY8aPo95Wuw2q2rt5HNLZlXvTEXrG6o*nK0cPbYHiG4WIEVVUUGmRedBfIIG1UbID/mahaba.jpg)
USIRUHUSU MAPENZI YAUTESE MOYO WAKO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXsiVk1nrwCqmYOE2wGQ5J2S4-yM0HnvEDcnIznWNFuLG3-DmNCsLjt0QTuQHpKr5-GjA6AN1fKC-G5EmkFhx0uO/mahaba.jpg?width=650)
HUNA SABABU YA KUUWEKA MOYO WAKO REHANI!
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-R9s9wyDqRnM/VfXUO5qxp_I/AAAAAAAAH10/wuw6UfK6-rQ/s72-c/cardiac.jpg)
UFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"
![](http://3.bp.blogspot.com/-R9s9wyDqRnM/VfXUO5qxp_I/AAAAAAAAH10/wuw6UfK6-rQ/s320/cardiac.jpg)
Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo; umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida.
Ingawa, kama mkondo wa kawaida wa umeme huu ukivurugwa moyo hushindwa kufanya kazi na kusababisha mapigo ya moyo ama kwenda taratibu sana, haraka sana au...