Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTENDEE HAKI MOYO WAKO, UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI!

HEBU jiulize kwa nafasi yako hapo ulipo, unautendea haki moyo wako? Mpenzi uliyenaye unampenda au unajilazimisha kuwa naye?
Somo la leo litakupa mwanga wa kujua haki ya moyo na tamaa za mwili wako ni kipi sahihi kutendewa haki. Elewa kuwa mapenzi ni sehemu ya maisha yetu na kwa hakika maisha yetu hayawezi kukamilika bila kuwepo mapenzi.Ninapozungumza juu ya mapenzi namaanisha yale yanayotoka moyoni mwa mtu mmoja kwenda kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UTENDEE HAKI MOYO WAKO UNGANA NA UNAYEMPENDA KWA DHATI! - 2

TUNAENDELEA kujifunza kuhusu hisia, kupenda na kuutendea haki moyo. Marafiki zangu, moyo ndiyo wenye ukweli wa wapi unapenda lakini akili huongoza na wakati mwingine kulazimisha. Wakati mwingine wapo watu ambao wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano kwa kujilazimisha tu; kuangalia matamanio ya kawaida ya kibinadamu ambayo kimsingi huongozwa na akili na utashi.
Hilo ni jambo baya ambalo, mwisho wake husababisha matatizo makubwa....

 

11 years ago

GPL

KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?

NDUGU zangu, mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku. Hakuna anayeweza kusimama na kusema, hataki kujihusisha nayo kwa namna yoyote, akijitokeza huyo atakuwa na matatizo ya akili. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammisi, lazima utahisi kupungukiwa kitu fulani muhimu katika maisha yako. Lakini...

 

10 years ago

GPL

UTAMJUAJE MCHUMBA WAKO KAMA ANA MAPENZI YA DHATI?

WAPENZI wasomaji wa safu hii bila shaka mko poa na mnaendelea na shughuli za kila siku. Kama kawaida ni Jumamosi nyingine tunakutana katika safu hii kuweza kupeana mambo mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano. Bila kupoteza muda, mada iliyopo hapo juu inajieleza. Ni wengi sana wameumia kwa kumpenda mtu asiyekuwa na penzi la dhati. Raha ya mapenzi, wapendanao mpendane, mheshimiane na kweli muoneshe kutoka moyoni kwamba mna...

 

11 years ago

GPL

USIRUHUSU MAPENZI YAUTESE MOYO WAKO - 2

DARASA linaendelea hapa kwenye Let’s Talk About Love. Bila shaka unajifunza mambo mengi ya msingi yanayokufanya uzidi kuwa bora katika uhusiano wako.Inawezekana bado kuna mtu anakusumbua, umejaribu kumbembeleza lakini hataki kukubaliana nawe, huyo hakufai. Mapenzi hayapo ili yatutese,  badala yake mapenzi yapo kwa ajili ya kutupa faraja.
Muondoe akilini mwako mtu wa aina hiyo, kwani atakufanya uyaone maisha kwa...

 

11 years ago

GPL

USIRUHUSU MAPENZI YAUTESE MOYO WAKO!

NATUMAINI hamjambo wasomaji wangu na kama unasumbuliwa na jambo lolote, iwe kiafya au kiuchumi naomba usikate tamaa kwani matatizo ni sehemu ya maisha, jambo la muhimu ni kumuomba Mungu na kujaribu kutafuta suluhu ya tatizo hilo. Baada ya kusema hayo, basi tuingie moja kwa moja kwenye mada yetu kama inavyojieleza hapo juu. Ni wazi kwamba mapenzi yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha ya binadamu, na ipo dhahiri kwamba...

 

11 years ago

GPL

HUNA SABABU YA KUUWEKA MOYO WAKO REHANI!

MAPENZI ni sanaa yenye wigo mpana sana. Unahitajika uwe mbunifu sana ili uweze kuendelea kuwa bora kwa mpenzi wako kila siku. Lazima uwe mtafutaji wa kitu kipya ili uweze kuwa wa tofauti kwa mwenzako. Huwezi kuwa yuleyule, ikiwa hivyo maana yake utakinaiwa. Naam! All About Love ni safu nzuri kwako kwa ajili ya kuongeza maarifa na kukufanya uendelee kuwa bora zaidi kwa mpenzi wako. Ndugu zangu, mapenzi ni furaha. Huna sababu ya...

 

9 years ago

Michuzi

UFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"

‘Cardiac Arrhythmia’ ni pale mtu anapokuwa na mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida au yanayodunda sana. 

Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na kusinyaa ambapo husababisha damu kuingia na kutoka kwenye moyo; umeme kwa kawaida hufuata mkondo na mapigo ya moyo kwa kasi ya kawaida. 

Ingawa, kama mkondo wa kawaida wa umeme huu ukivurugwa moyo hushindwa kufanya kazi na kusababisha mapigo ya moyo ama kwenda taratibu sana, haraka sana au...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani