MADHARA YA KUMUACHA MPENZI WAKO KWA KUMFUMANIA!
![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdNtUdAoddqC3BDkzcWWgpFwESeFrTifADmxaA5Jt-tH1skYWXyDzkDTbZE-Dxkn1SIPi7jKjSMBXHkd7V5rpLor/10.jpg?width=650)
Mpenzi msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi yapo mengi ya kuvumilia ili kuweza kudumu na huyo uliyetokea kumpenda. Hata hivyo, kuna ambayo kuyavumilia inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Hebu vuta picha, unaingia kwenye uhusiano na mtu ambaye moyo wako unaamini ni mpenzi sahihi, unampenda, unamheshimu na kumjali lakini siku moja unamfumania na mtu mwingine. Hivi kama ni wewe utaumia kwa kiwango gani? Ninavyojua maumivu yake...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video)
Hii video imeenea sana mitandaoni lakini haina maelezo juu ya mazingira ya tukio lenyewe… nimefanikiwa kukipata chanzo cha habari kutoka Brazil wakiwa na stori yote ilivyokuwa mpaka mwanamke huyo kuamua kumalizia hasira zake kwenye gari. Mwanamke huyo hajatajwa jina, ila tukio limetokea Ceilandia jirani na Jiji la Brasilia, Brazil na ilikuwa December 5 2015… mwanamke ni […]
The post Mwanamke alivyomalizia hasira kwenye gari baada ya kumfumania mpenzi wake Brazil.. (+Video) appeared first on...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-vHG5-bX4LbVa95GsjByp9eIalFdEcex08MnkcVS7hhQtEhspSDBslRHD5*4LBKICQuh6Lgj7OwIh*yLGlCTidh/love.jpg)
MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UeiAtiGk5flE-qgOBmsvjSxIJ5VMNDS0a8yag5VPPQwd3XOqNztKoJaM65IwbjbG9Lft3l02BPEUsCtvydLCXS4lEpo*VU7X/mahaba.jpg)
UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6I4DBCct96b-N7a8OJskG5lIiKQdL1seICUpfm4UzpQmxWF-1TxfF84LFYbs1dYMuPjVo1BKSBgmHOLWwXuaH*/mahaba.jpg)
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYk9*hyhyCAIpLz9-T*1G7Up25c-muYlbsl1vhFtds4Iqke95Lg5UzdKHJLnKaxtYO*6699coNdoAFgR9-6OpdXp/mahaba.jpg)
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UZ8UQ2FXhhNuvgnTwZ2*AN7R1kp35LO21bdOmYYBD4u6ElgJUaVTiTbDCiNLGPzGdwMTjqI1K30gDflJ8seSLljtFud2xITH/MAHABA.jpg?width=650)
USITOE THAMANI YA MPENZI WAKO KWA MWINGINE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XP1HwsPGdbelr4Vix-BHEMMLQV-PU*tkVLJsaSt5RVVB0Kj0*zjoU*d3tbY43vebGgsTPBSJGrSuhMZGWT8gp37X-egMEjvw/24.jpg?width=650)
ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-6Yn6cOS7K7pZSbnCuwl-fzE278dcWQ9ks1d6DzPgAuWTL-8cGOsPTp3Nu7lnBxmXF3EOtCRVA963THAi4nyIuC/mahaba.jpg?width=650)
KISA ANAKUPENDA KWA DHATI NDIYO UMTESE MPENZI WAKO?