UNAKUNJAJE USO KWA MPENZI WAKO?

SIKU zinakimbia kwelikweli kuelekea mwisho wa mwaka, dunia ikijiandaa kwa ajili ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, yapata zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Wenyewe wanaita Krismas. Ni kipindi ambacho pia akina baba wanapunguza idadi ya michepuko kutokana na wingi wa mahitaji na akina mama nao wanaongeza orodha ya ATM ili wanone zaidi! Uongo? Kama utaamua kunikatalia sitakulaumu kwa sababu huenda wewe ni mmoja...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Dec
Picha: Diamond uso kwa uso na watoto watatu wa mpenzi wa zamani wa Zari

Diamond Platnumz ameamua kuudhihirishia ulimwengu kuwa licha ya kuwa mama wa mtoto wake, Zarinah Tlale alimkuta na watoto watatu wa baba mwingine, lakini hilo halimzuii kuhang na watoto hao ambao baba yao ni Ivan Ssemwanga.
Akiwa Uganda weekend iliyopita Diamond na Zari walipost picha za familia ambapo kwenye moja ya picha hizo Diamond amepiga akiwa Zari na binti yao Tiffah na watoto wengine wa zari, na kusindikiza na caption ya kijembe.
“Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho...
11 years ago
GPL
MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!
11 years ago
GPL
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2
11 years ago
GPL
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?
11 years ago
GPL
USITOE THAMANI YA MPENZI WAKO KWA MWINGINE!
11 years ago
GPL
MADHARA YA KUMUACHA MPENZI WAKO KWA KUMFUMANIA!
10 years ago
GPL
ALIKUWA MPENZI WAKO, KWA NINI SASA UMHARIBIE?
10 years ago
GPL
HUKATAZWI KUMFUATILIA MPENZI WAKO LAKINI KWA NINI UMFUATILIE?