Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DALILI 5 KWAMBA MPENZI WAKO ANA WA KUMCHUNA!

Mapenzi ya sasa yamejaa usanii wa hali ya juu. Wapo wanaume ambao wana wapenzi wao lakini ukiwafuatilia utagundua wana ‘mashuga mami’ ambao wanawapa jeuri ya fedha. Ukiachilia mbali hao wanaume, wapo mabinti ambao licha ya kuwa na wapenzi wao wanaowapenda, pembeni wana wanaume wa kuwachuna.Utajuaje kama wa kwako naye ana mtu anayemchuna? Dalili hizi 5 ni kati ya nyingi zinazoweza kukupa mwanga. Ana simu zaidi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!

Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara.  Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...

 

9 years ago

Bongo5

Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo

shishi nw

Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

shishi nw

Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...

 

10 years ago

GPL

HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!

Hemedy PHD amejifunza kuwa kutulia na mpenzi mmoja, kuwa mwaminifu, kumpa muda wako mwingi haitoshi kumfanya mwanamke awe na furaha. Akiongea na Round Up, Hemedy amesema amegundua kuwa kuna vitu vingine vinavyoonekana kuwa ni vidogo lakini ni sumu katika uhusiano. “Ni tabia ndogo ndogo za wivu, ukorofi, ni vitu ambavyo mimi nilikuwa navyo ambavyo nilikuwa […]

 

10 years ago

GPL

MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!

Niwazi kila mmoja wetu ana historia katika maisha yake ya kimapenzi. Huenda mpaka sasa wewe msomaji ulishawahi kuwa na uhusiano na watu zaidi ya mmoja. Wala siyo ajabu! Yawezekana pia kati ya wale uliowahi kuwa nao wapo uliomwagana nao kwa shari lakini wapo pia ulioachana nao kiroho safi. Jambo ambalo leo nataka kulizungumzia ni hili la mtu kuendelea kuwa na mawasiliano na mpenzi wake wa zamani eti kwa sababu waliachana kwa...

 

9 years ago

Vijimambo

DALILI 10 ZA MKE/MPENZI ANAYEKUSALITI?

Dunia siku hizi imeharibika, wanawake nao ni mahodari wa kusaliti ndoa zao au mapenzi yao na wanaume hushindwa kuwagundua kwa sababu ya kutokuwa na muda mwingi wa kuwa nao.

Hii inatokea kwa sababu huenda muda mwingi uko kazini kwako na yeye kazini kwake au umemuacha nyumbani.
Sasa katika mazingira hayo utajuaje kama anakusaliti? Ni rahisi sana kama utanisoma kwa makini kwani hizi ndiyo dalili za mpenzi wa kike ambaye anakusaliti.

Haoneshi mapenzi anapokuwa na wewe

Wanawake wengi wanafanana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani