KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!
Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara. Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMPENZI WAKO AKIKULALAMIKIA UNA WIVU WA KIJINGA KWAKE... UJUE ANAKUSALITI-2
10 years ago
CloudsFM17 Aug
Kama wewe upo Kahama hii inakuhusu...
HIVI NI BAADHI YA VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA KUANZIA MUDA HUU:
Uwanjani kutakuwa na gari moja, Bijampora kutakuwa na gari moja, Fantoni kutakuwa na gari moja, Stendi kuu kutakuwa na gari moja, Galaxy/Social/Chila kutakuwa na gari moja.
TAADHARI:
Kinywaji cha aina yeyote ile kutoka nje ya eneo la uwanja wa kahama hakitaruhusiwa kuingia.. Huduma ya chakula na vinywaji kutoka Serengeti Breweries Limited vitapatikana kwa wingi.
Pia yeyote mwenye umri chini ya miaka 18...
10 years ago
GPLDALILI 5 KWAMBA MPENZI WAKO ANA WA KUMCHUNA!
9 years ago
Bongo505 Jan
Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo
Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.
“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...
10 years ago
GPLHAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!
9 years ago
Bongo514 Sep
Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!