Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kama wewe upo Kahama hii inakuhusu...

HIVI NI BAADHI YA VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA KUANZIA MUDA HUU:
Uwanjani kutakuwa na gari moja, Bijampora kutakuwa na gari moja, Fantoni kutakuwa na gari moja, Stendi kuu kutakuwa na gari moja, Galaxy/Social/Chila kutakuwa na gari moja.

TAADHARI:
Kinywaji cha aina yeyote ile kutoka nje ya eneo la uwanja wa kahama hakitaruhusiwa kuingia.. Huduma ya chakula na vinywaji kutoka Serengeti Breweries Limited vitapatikana kwa wingi.

Pia yeyote mwenye umri chini ya miaka 18...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU


Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper  habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.

Weekend yako fanya kama unasahau stress za schedule vile na tupieni.

 

10 years ago

GPL

KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!

Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara.  Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMA WEWE NI WAPANDE ZILE HII UTAIKUMBUKA KITU UGALI WA UNGA WA MUHOGO KWA KUKU WA KIENYEJI FULL OGANIKI.

Yani hapa ni mwendo wa kuzunguka mkono kwa mkono tonge kwa tonge kwetu raha juu ya mkeka uku goti umelikunja.

 

11 years ago

GPL

UPO KAMA DUME LA BATA FANYA HIVI

MUHALI gani mabibi na mabwana nina imani tumeuanza mwaka vizuri, najua mmenisubiri kwa hamu kutaka kujua nimekuja na mapya gani. Jamani hakuna jipya chini ya jua, zaidi ya kukumbushana tulivyo visahau. Leo  nami siwezi kuzipunguza raha zenu bali kuziongeza.
Nashukuru kwa wote mlionipongeza kwa kupata mafunzo ambayo hawakuyapata hapo awali, siyo wote wamepitia mafunzo ya utaratibu wa maisha ya jando na unyago. Kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani