Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!

Hemedy PHD amejifunza kuwa kutulia na mpenzi mmoja, kuwa mwaminifu, kumpa muda wako mwingi haitoshi kumfanya mwanamke awe na furaha. Akiongea na Round Up, Hemedy amesema amegundua kuwa kuna vitu vingine vinavyoonekana kuwa ni vidogo lakini ni sumu katika uhusiano. “Ni tabia ndogo ndogo za wivu, ukorofi, ni vitu ambavyo mimi nilikuwa navyo ambavyo nilikuwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Una mpango wa kuchora tattoo ya mpenzi wako? Shilole ana ushauri kuhusu hilo

shishi nw

Shilole a.k.a Shishi baby ametoa ushauri kwa watu kutochora tattoo za wapenzi wao, ili isije kuwapa shida pale watakapoachana kama ilivyomtokea yeye na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

shishi nw

Shishi ametoa ushauri huo baada ya kumwagana na aliyekuwa mpenzi wake Nuh Mziwanda.

“Sina tattoo tena nimeamua tu kuifuta,tutapendana tu kama ni mapenzi tutapeana ya rohoni,mambo ya kuchorana tattoo nimeshaacha,nishaona hakuna sababu ya kuchora unaweza kuchora tattoo ukazuia mambo yako mengi yanayopita.”...

 

11 years ago

GPL

YANAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.
Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri...

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri rafiki yangu ambaye aliniletea mashitaka ya mpenzi wake kutembea na...

 

10 years ago

GPL

DALILI 5 KWAMBA MPENZI WAKO ANA WA KUMCHUNA!

Mapenzi ya sasa yamejaa usanii wa hali ya juu. Wapo wanaume ambao wana wapenzi wao lakini ukiwafuatilia utagundua wana ‘mashuga mami’ ambao wanawapa jeuri ya fedha. Ukiachilia mbali hao wanaume, wapo mabinti ambao licha ya kuwa na wapenzi wao wanaowapenda, pembeni wana wanaume wa kuwachuna.Utajuaje kama wa kwako naye ana mtu anayemchuna? Dalili hizi 5 ni kati ya nyingi zinazoweza kukupa mwanga. Ana simu zaidi ya...

 

10 years ago

GPL

KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!

Mpenzi msomaji wangu, katika mapenzi kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu umekuwa ukiwatesa wengi na kujikuta wakijipa presha na vidonda vya tumbo bila kutarajia.Wanaofikia hatua hii ni wale ambao wivu wao umepitiliza. Nasema umepitiliza kwa kuwa, wivu wa kawaida unatakiwa kwenye mapenzi ili yawe imara.  Kama upo kwenye uhusiano na mtu mwenye wivu uliopitiliza kiwango, unatakiwa kuwa makini sana ili msije mkaachana wakati bado...

 

10 years ago

GPL

HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!

NAMSHUKURU Mungu kwa kunikutanisha nanyi marafiki Jumamosi ya leo. Mungu ni mwema sana ndiyo maana anazidi kutubariki kila kukicha. Tunakutana tena katika darasa letu huru, tunafundishana masuala yahusuyo uhusiano wa mapenzi. Leo nimependa tujadili mada hii ambayo naamini inagusa watu wengi. Wengi wetu tunakubaliana kwamba tumekutana na jambo hili kwa nyakati tofauti.Unampigia simu mpenzi wako hapokei, meseji hajibu na wala hana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani