YANAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!
![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*BP2oCcmp7627J-Uij8uGBtqjBHvmBqwAPYoWXfv5sKbneNXE12nGPj88f8*yWrMKhwwuTb-sIeBgl3sQ5WH70S/mapenzi.jpg?width=650)
Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi. Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s72-c/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!
![](http://4.bp.blogspot.com/-orm8i_Jn5LE/U6gB67o5dtI/AAAAAAAAAog/LlzPYMCYTEg/s640/10441151_776114232410007_7420358411946438068_n.jpg)
9 years ago
Bongo514 Sep
Video: Hemedy ana ushauri kwa wanaume wa jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache kamwe!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ykZ*wTWqMzZDyeAbjFMqxoGqJasG1UF4qL4mU2FyO7YOJRmJDPRrhoTCw8ytuimrnKBkfwa8rsHRew6aDEpg2egr7raIhOnc/MenCantResistAboutAWoman.jpg?width=650)
WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?
9 years ago
Vijimambo14 Aug
WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?
![](http://api.ning.com/files/ykZ*wTWqMzZDyeAbjFMqxoGqJasG1UF4qL4mU2FyO7YOJRmJDPRrhoTCw8ytuimrnKBkfwa8rsHRew6aDEpg2egr7raIhOnc/MenCantResistAboutAWoman.jpg?width=650)
Leo nataka kuzungumzia ile hali ya mtu kutokea kumpenda mtu ambaye tayari yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi. Hilo limekuwa likitokea sana huko mtaani, unakuta kijana anampenda sana mke wa mtu kiasi cha kutamani aachike amuoe yeye.
Si hivyo tu, unakuta mwanamke anatokea kumzimikia mume wa mtu na kuhisi yeye ndiye alistahili kuolewa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT6I4DBCct96b-N7a8OJskG5lIiKQdL1seICUpfm4UzpQmxWF-1TxfF84LFYbs1dYMuPjVo1BKSBgmHOLWwXuaH*/mahaba.jpg)
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYk9*hyhyCAIpLz9-T*1G7Up25c-muYlbsl1vhFtds4Iqke95Lg5UzdKHJLnKaxtYO*6699coNdoAFgR9-6OpdXp/mahaba.jpg)
UNAKUMBUKA AHADI YAKO KWA MPENZI WAKO?
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-vHG5-bX4LbVa95GsjByp9eIalFdEcex08MnkcVS7hhQtEhspSDBslRHD5*4LBKICQuh6Lgj7OwIh*yLGlCTidh/love.jpg)
MPENZI WA ZAMANI WA MPENZI WAKO ANAPOKUWA KIRUSI HATARI!
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Facebook kukutanisha na rafiki yako
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Mpenzi wako ‘kicheche’
NI matumaini yangu msomaji wa safu hii -mzima wa afya. Leo nitaelezea jinsi ya kuzungumza na mpenzi wako pindi unapomuona anawatamani wasichana wengine pindi unapokuwa naye kwenye mkusanyiko wa watu...