Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook kukutanisha na rafiki yako

Mtandao wa Facebook umeanzisha huduma mpya inayomuwezesha mtumiaji kujua eneo aliko rafiki yake kupitia huduma ijulikanayo kama “Nearby Friends”

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?

Niwiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu amekujaalia afya njema na uko tayari kukisoma kile ambacho nimekuandalia kwa wiki hii.

Leo nataka kuzungumzia ile hali ya mtu kutokea kumpenda mtu ambaye tayari yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi. Hilo limekuwa likitokea sana huko mtaani, unakuta kijana anampenda sana mke wa mtu kiasi cha kutamani aachike amuoe yeye.

Si hivyo tu, unakuta mwanamke anatokea kumzimikia mume wa mtu na kuhisi yeye ndiye alistahili kuolewa na...

 

9 years ago

GPL

WAMEISHA MPAKA UMPENDE MPENZI WA RAFIKI YAKO?

Niwiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba Mungu amekujaalia afya njema na uko tayari kukisoma kile ambacho nimekuandalia kwa wiki hii. Leo nataka kuzungumzia ile hali ya mtu kutokea kumpenda mtu ambaye tayari yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi. Hilo limekuwa likitokea sana huko mtaani, unakuta kijana anampenda sana mke wa mtu kiasi cha kutamani aachike amuoe yeye. Si hivyo tu, unakuta mwanamke anatokea...

 

10 years ago

GPL

YANAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.
Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri...

 

10 years ago

Vijimambo

HAYA NAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuelimishana na kukumbushana juu ya mambo yanayogusa maisha yetu ya kimapenzi.Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita nilikuwa na kazi kubwa ya kumshauri rafiki yangu ambaye aliniletea mashitaka ya mpenzi wake kutembea na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikukuu ya Maulid kukutanisha wanawake Dar

MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Mohamed (S.W.A) Mkoa wa Dar es Salaam, Eshe Sululu, amewataka wanawake wote kujumuika pamoja Januari 14 kwa ajili ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Tamasha la Karibu Music Festival kukutanisha wanamuziki Bagamoyo

Wadau wa muziki nchini, Afrika Mashariki na dunia nzima kwa ujumla watapata fursa kujumuika pamoja na kubadilishana uzoefu wa kazi zao katika tamasha la pili la muziki maarufu kama ‘Karibu Music Festival’ litakalofanyika mapema mwezi ujao huko Bagamoyo.

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unaweza kuyakabili matatizo yasiathiri furaha yako na maisha yako?

Je, ukikutana na mtu njiani, akakuuliza kama una matatizo katika maisha yako, utamjibu vipi?

 

10 years ago

Mwananchi

Unajua kuwa sanaa yako inajumuisha maisha yako binafsi?

“Watu waangalie nini nafanya, burudani gani ninawapa lakini maisha yangu hayawahusu.”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani