Sikukuu ya Maulid kukutanisha wanawake Dar
MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Mohamed (S.W.A) Mkoa wa Dar es Salaam, Eshe Sululu, amewataka wanawake wote kujumuika pamoja Januari 14 kwa ajili ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTASWIRA ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MAULID JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-f-QZNQjsO8c/VKaGOLkCUhI/AAAAAAAG66Q/KQsFa3KezoU/s72-c/bakwata%2Blogo.gif)
SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE,TANGA-BAKWATA
![](http://3.bp.blogspot.com/-f-QZNQjsO8c/VKaGOLkCUhI/AAAAAAAG66Q/KQsFa3KezoU/s1600/bakwata%2Blogo.gif)
Sikukuu ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza Januari 3 na kumalizika Januari 4.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa Bin Shaaban Simba anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema.
Hata hiyo Katibu Mkuu Lolila aliwataka waislam wote nchini kushirikia kikamilifu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mAHYQtHlLj6f*upM*Sk9zaBkBqZkWR6k9IUYphHl6ucbsTzd*grt9xkN6oNDO1XRHhtl4qbLZGNf6iQa2W33PYzP*yWuTBli/bakwatalogo.gif?width=377)
SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE, TANGA-BAKWATA
Sikukuu ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu. Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza Januari 3 na kumalizika Januari 4. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa Bin Shaaban Simba anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema. Hata hiyo Katibu...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CJcEUUItykk/VONl5dmdWfI/AAAAAAADZuU/9dbsCAiTetk/s72-c/vijimamboMedia.png)
KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-CJcEUUItykk/VONl5dmdWfI/AAAAAAADZuU/9dbsCAiTetk/s400/vijimamboMedia.png)
![](https://pbs.twimg.com/profile_images/597771257241837571/1kKKjVgx.png)
![Nesi Wangu](http://www.nesiwangu.com/wp-content/uploads/2014/04/Wangu.png)
11 years ago
GPLMUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI
Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo ya anga katika Mamlaka wa usafiri wa Anga Tanzania, ambao ndio walikuwa wasemaji katika sherehe hizo
 Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi akizungumza na wanafunzi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCvh4rdTm5Apo*n*MRGq7XyaajJ7D3*XgNZARJVUdJLPR4-8WXBPsGGFyA3bVsSqkZ1G8FgOS9YOGCqbXkhdrWaH/BACKUWAZI.jpg?width=650)
MSIMU WA SIKUKUU ROHO MKONONI MABASI YATEKWA, WANAWAKE WABAKWA
Stori Mwandishi Wetu, Mwanza
Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza. Polisi wakiwa eneo la tukio. Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess...
11 years ago
Habarileo13 Jan
Mzee Mwinyi mgeni rasmi Maulid Dar
RAIS mstaafu, Ali Hassan Mwinyi leo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za Maulidi Kimkoa, Dar es Salaam zinazofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania