Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Nesi WanguKilimanjaro Studio iliyopo Beltsville, Maryland inatoa salamu za kheri ya sikukuu ya Maulid, Christmas na mwaka mpya kwa wadau wote wa Vijimambo Blog, Kwanza Production na Nesi Wangu Blog. Sikukuu iwe ya upendo na amani na muweze kusherehekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016.Kama hukutimiza malengo mwaka 2015 usijali mwaka 2016 ni mwaka wa kujipanga upya na Kilimanjaro studio inakutakia kila la kheri kwa mwaka mpya 2016 uwe mwaka wa mafanikio makubwa kwako na kumwomba Mwenyezi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda  Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband

 

9 years ago

Dewji Blog

Jumuiya ya Wazanzibar Sweden inawatakia Kheri ya Mwaka  2016

 

Jumuiya ya Wazanzibari waishio Sweden Scandinavia (ZANDIA) inawatakia wa Zanzibar na wadau wote wanaoitakia Zanzibar neema kheri ya mwaka mpya 2016, Mwenyezi Mungu ijalie nchi yetu amani, upendo, na ushikamano kwa Wazanzibar wote ulimwenguni.

Tunajenga imani kubwa kuwa kuna mwelekeo wa kupatikana muafaka kwenye vikao vinavyoendelea kila siku huko nyumbani, na kuiweka nchi yetu katika Amani na utulivu, ili  kupatikana raisi aliechaguliwa kihalali  katika nchi yetu tuipendayo...

 

9 years ago

MillardAyo

Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’!

Ikiwa zimebaki saa chache kusherekea sikukuu ya Christmas kwa mwaka huu wa 2015, staa wa muziki kutoka Nigeria, Iyanya ameungana na NdaniTV ya Nigeria kwa ajili ya kutoa live performance ya moja ya nyimbo maarufu za Christmas, ‘Come All Ye Faithful’. Hapa chini ni video ya live performance ya Iyanya ndani ya NdaniTV. Unataka kutumiwa […]

The post Iyanya anafunga mwaka kwa kukutakia kheri ya Christmas na hii video – ‘Come All Ye Faithful’! appeared first on...

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers wanawatakia wasomaji wetu wote wa mtandao na magazeti yetu heri ya mwaka mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA WAZEE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alifanya ziara maalum ya kuwakagua baadhi ya wazee katika sehemu mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba ili kujua haliu zao pamoja na kuwapa mkono wa pongezi kwa kukamilisha mwaka 2014 na kuwatakia kheri ya mwaka mpya wa 2015.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Asili wa Ijumaa Micheweni Mjini Sheikh Haji Khatib Haji.Balozi Seif akitoa Mkono wa Pole kwa Watoto na Wajukuu wa Muasisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif awatakia kheri ya mwaka mpya wazee hapa nchini

IMAM WA MSIKITI MICHEWENI 001

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Asili wa Ijumaa Micheweni Mjini  Sheikh Haji Khatib Haji.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alifanya ziara maalum ya kuwakagua baadhi ya wazee katika sehemu mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba ili kujua haliu zao pamoja na kuwapa mkono wa pongezi kwa kukamilisha mwaka 2014 na kuwatakia kheri ya mwaka mpya wa 2015.

KUHANI CHAKE CHAKE JANA 002

Balozi Seif akitoa Mkono wa Pole kwa Watoto na Wajukuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

9 years ago

Mtanzania

‘Kadi za Christmas, mwaka mpya marufuku’

sefueNA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa gharama za Serikali kwa mwaka huu.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue, alielekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.

“Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani