‘Kadi za Christmas, mwaka mpya marufuku’
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa gharama za Serikali kwa mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue, alielekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
“Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Dec
10 years ago
Michuzi24 Dec
SALAMU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA LIBENEKE LA LYAMBA Lya Mfipa
J.D.Nyambo.Mhariri mkuu Lyamba Lya Mfipa
10 years ago
GPL23 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0TWhLYwhe3s/Vm7jdLzwUoI/AAAAAAAIMW0/iv0ne6LiK5k/s72-c/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
WANANCHI WATAKIWA KUWA MAKINI KUELEKEA MSIMU WA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-0TWhLYwhe3s/Vm7jdLzwUoI/AAAAAAAIMW0/iv0ne6LiK5k/s400/POLISI%2BLOGO%2B-%2BCopy.jpg)
Jeshi la polisi nchini limewataka wananchi kuimarisha na kutekeleza kwa vitendo dhana ya ulinzi jirani katika kipindi hiki cha kuelekea kuadhimisha sikukuu za mwisho wa mwaka na kusherekea mwaka mpya kwani ulinzi jirani ni mkakati madhubuti katika kuimarisha usalama wa raia na mali zao hapa nchini.
Hayo yalisemwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Mrakibu mwandamizi wa Polisi Advera Bulimba wakati akitoa tahadhari ya usalama katika kipindi hiki cha kuelekea...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-CJcEUUItykk/VONl5dmdWfI/AAAAAAADZuU/9dbsCAiTetk/s72-c/vijimamboMedia.png)
KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA
![](http://2.bp.blogspot.com/-CJcEUUItykk/VONl5dmdWfI/AAAAAAADZuU/9dbsCAiTetk/s400/vijimamboMedia.png)
![](https://pbs.twimg.com/profile_images/597771257241837571/1kKKjVgx.png)
![Nesi Wangu](http://www.nesiwangu.com/wp-content/uploads/2014/04/Wangu.png)
10 years ago
Michuzi23 Dec
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
HAPA KAZI TU: Kadi za Krismass na Mwaka mpya marufuku kwa gharama za Serikali!
Balozi Ombeni Sefue
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Usije shangaa unapata taarifa kuwa Michango ya Harusi inafutwa na baadala yake watu wafunge ndoa kimya kimya!! aah inawezekana ama isiwezekane ila kwa kuhakikisha kazi zinafanyika na kubana matumizi yasio ya lazima, huko tunakoelekea inatupaswa kufanya hivi ili mipango na fedha nyingi zielekezwa katika huduma za afya, Elimu, Miundombinu na mambo mengine ya Kimaendeleo.
Modewjiblog inapongeza juhudi zote za msingi zinazotolewa...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M8TeCSFMyMo/VlbZOD-sBfI/AAAAAAAIIcs/zyKOUBFvJIA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI KADI ZA XMAS NA MWAKA MPYA KWA GHARAMA ZAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-M8TeCSFMyMo/VlbZOD-sBfI/AAAAAAAIIcs/zyKOUBFvJIA/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Balozi Sefue, ameelekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa...