HAPA KAZI TU: Kadi za Krismass na Mwaka mpya marufuku kwa gharama za Serikali!
Balozi Ombeni Sefue
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Usije shangaa unapata taarifa kuwa Michango ya Harusi inafutwa na baadala yake watu wafunge ndoa kimya kimya!! aah inawezekana ama isiwezekane ila kwa kuhakikisha kazi zinafanyika na kubana matumizi yasio ya lazima, huko tunakoelekea inatupaswa kufanya hivi ili mipango na fedha nyingi zielekezwa katika huduma za afya, Elimu, Miundombinu na mambo mengine ya Kimaendeleo.
Modewjiblog inapongeza juhudi zote za msingi zinazotolewa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-M8TeCSFMyMo/VlbZOD-sBfI/AAAAAAAIIcs/zyKOUBFvJIA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UTENGENEZAJI NA UCHAPISHAJI KADI ZA XMAS NA MWAKA MPYA KWA GHARAMA ZAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-M8TeCSFMyMo/VlbZOD-sBfI/AAAAAAAIIcs/zyKOUBFvJIA/s640/Screen%2BShot%2B2015-11-20%2Bat%2B8.55.15%2BPM.png)
Balozi Sefue, ameelekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na uchapishaji wa kadi, zitumike kupunguza madeni ambayo Wizara, Idara na Taasisi za umma zinadaiwa na wananch/wazabuni waliotoa...
9 years ago
Habarileo27 Nov
Marufuku kadi za X-mas kwa fedha za serikali
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya kwa gharama za Serikali/ umma kwa mwaka huu.
9 years ago
BBCSwahili27 Nov
Magufuli: ‘Kadi za Krismasi kwa gharama zenu’
9 years ago
Mtanzania27 Nov
‘Kadi za Christmas, mwaka mpya marufuku’
NA JONAS MUSHI, DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amepiga marufuku utengenezaji na uchapishaji wa kadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka mpya kwa gharama za Serikali kwa mwaka huu.
Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Balozi Sefue, alielekeza kuwa yeyote anayetaka kutengeneza ama kuchapisha kadi hizo, afanye hivyo kwa gharama zake mwenyewe.
“Badala yake Balozi Sefue ameagiza fedha zilizopangwa kugharamia utengenezaji na...
11 years ago
MichuziCRDB yazindua huduma ya malipo ya gharama za matibabu kwa njia ya Kadi KCMC
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi mara baada ya kuanza kazi rasmi katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE, Obedi Mbaga.
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...
11 years ago
Michuzi16 Jun
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...