Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jumuiya ya Wazanzibar Sweden inawatakia Kheri ya Mwaka  2016

 

Jumuiya ya Wazanzibari waishio Sweden Scandinavia (ZANDIA) inawatakia wa Zanzibar na wadau wote wanaoitakia Zanzibar neema kheri ya mwaka mpya 2016, Mwenyezi Mungu ijalie nchi yetu amani, upendo, na ushikamano kwa Wazanzibar wote ulimwenguni.

Tunajenga imani kubwa kuwa kuna mwelekeo wa kupatikana muafaka kwenye vikao vinavyoendelea kila siku huko nyumbani, na kuiweka nchi yetu katika Amani na utulivu, ili  kupatikana raisi aliechaguliwa kihalali  katika nchi yetu tuipendayo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Nesi WanguKilimanjaro Studio iliyopo Beltsville, Maryland inatoa salamu za kheri ya sikukuu ya Maulid, Christmas na mwaka mpya kwa wadau wote wa Vijimambo Blog, Kwanza Production na Nesi Wangu Blog. Sikukuu iwe ya upendo na amani na muweze kusherehekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016.Kama hukutimiza malengo mwaka 2015 usijali mwaka 2016 ni mwaka wa kujipanga upya na Kilimanjaro studio inakutakia kila la kheri kwa mwaka mpya 2016 uwe mwaka wa mafanikio makubwa kwako na kumwomba Mwenyezi...

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

MOblog inawatakia kila la kheri wanafunzi wote wanaofanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi leo

MITIHANI YA DARASA LA SABA MORO 3

Habari watanzania wenzangu, kwa niaba ya MOdewjiblog Team napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia kila la kheri wanafunzi wote wa darasa la saba wanaofanya mitihani yao ya mwisho ya kumaliza elimu ya msingi hivi leo.

Mola awape wepesi wa kuelewa vyema mitihani yao.

Elimu bora ndio msingi wa Taifa Letu!

Kila la kheri wanafunzi!

Mungu ibariki Tanzania na wabariki vijana wetu pia.

 

 

9 years ago

BBCSwahili

Sweden, Ukraine zafuzu Euro 2016

Timu za taifa za Sweden na Ukraine zimekua timu za mwisho kuzufu kwa michuano ya ulaya mwaka 2016 nchini Ufaransa

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN NA KUMKARIBISHA BALOZI DORAH MSECHU

 Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.  Muziki hadi lyamba.…

 

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2015

Mkurugenzi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers wanawatakia wasomaji wetu wote wa mtandao na magazeti yetu heri ya mwaka mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI IDDI AWATAKIA KHERI YA MWAKA MPYA WAZEE

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alifanya ziara maalum ya kuwakagua baadhi ya wazee katika sehemu mbali mbali ya Kisiwa cha Pemba ili kujua haliu zao pamoja na kuwapa mkono wa pongezi kwa kukamilisha mwaka 2014 na kuwatakia kheri ya mwaka mpya wa 2015.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Asili wa Ijumaa Micheweni Mjini Sheikh Haji Khatib Haji.Balozi Seif akitoa Mkono wa Pole kwa Watoto na Wajukuu wa Muasisi...

 

11 years ago

Michuzi

MWAKILISHI WA KUDUMU WA SWEDEN JUMUIYA YA ULAYA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI ZINAZOZUNGUKA ZIWA TANGANYIKA

 Mwakilishi wa Kudumu wa Sweden Jumuiya ya Ulaya Balozi Anders Ahnlid (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi zinazozunguka ziwa Tanganyika. Balozi Ahnlid amekutana na Mabalozi hao leo Brussels.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani