Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN NA KUMKARIBISHA BALOZI DORAH MSECHU

 Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.  Muziki hadi lyamba.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BALOZI MTEULE WA TANZANIA NCHINI SWEDEN DORAH MSECHU AMUAGA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi  Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu  mjini Dodoma,  May 16, 2014. Balozi huyo mteule alikwenda kuaga.
Waziri Mkuu Mkizengo Pinda  akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda… ...

 

10 years ago

Michuzi

Taswira za Sherehe ya WaTanzania nchini Sweden na mkutano wa kumkaribis​ha balozi Dora Msechu

Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe mwihoni mwa juma ambapo  Watanzania kibao walifika kutoka karibia kila kona ya Sweden. Siku ilianza kwanza na mkutano na Mama Dora Msechu kujitambulisha rasmi kwawatanzania. Baada ya mkutano kulikua na chakula na Dansi kusherekea Tanzania day. Kivutio kingine kikubwa ni umahiri wa maDJ wakali hapa Sweden wakitambulika kwa majina ya Dj Richie na Dr Erick Kalebi ambao walitumbuiza mziki wa...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI DORA MSECHU ASHIRIKI KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA JUMUIYA YA WATANZANIA JIMBO LA FYN, DENMARK

Balozi Dora Msechu amekutana na watanzania wanaoishi kwenye Jimbo la Fyn nchini Denmark na kuwapongeza kwa kutimiza miaka 10 ya Umoja wao. na kuwashukuru kwa mchango mkubwa wanaotoa kwenye maendeleo ya nchi yetu. Amewaasa waendeleze mshikamano wao na kuwahakikishia kuwa milango ya Ubalozi ipo wazi katika kuwahudumia na kushirikiana kwa karibu na watanzania wote wanaoishi kwenye nchi za Nordic na Baltic.
Sherehe hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Fyn kwa kushirikiana na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SWEDEN

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dora Msechu (kushoto) amekutana na wafanyabiashara wa Sweden kwenye mkutano ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Sweden na Afrika Mashariki(Swedish East Africa Chamber of Commerce)
Mhe. Balozi Dora Msechu amewahamasisha Wafanyabiashara wa Sweden kuwekeza Tanzania kwa kuwaeleza fursa za uwekezaji zilizopo na mikakati ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha miundombinu.Sehemu ya Wafanyabiara hao wa nchini Sweden wakiwa kwenye kikao na Balozi wa Tanzania...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu

PG4A9487

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi  Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu  mjini Dodoma,  May 16, 2014. Balozi huyo mteule alkwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A9494

 Waziri Mkuu Mkizengo Pinda  akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kuaga kwa ajili ya kwenda kuanza kazi. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi Mteule  wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani