Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI DORA MSECHU ASHIRIKI KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA JUMUIYA YA WATANZANIA JIMBO LA FYN, DENMARK

Balozi Dora Msechu amekutana na watanzania wanaoishi kwenye Jimbo la Fyn nchini Denmark na kuwapongeza kwa kutimiza miaka 10 ya Umoja wao. na kuwashukuru kwa mchango mkubwa wanaotoa kwenye maendeleo ya nchi yetu. Amewaasa waendeleze mshikamano wao na kuwahakikishia kuwa milango ya Ubalozi ipo wazi katika kuwahudumia na kushirikiana kwa karibu na watanzania wote wanaoishi kwenye nchi za Nordic na Baltic.
Sherehe hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Watanzania Jimbo la Fyn kwa kushirikiana na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.


Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye  Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..
Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na  watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..

 

10 years ago

Michuzi

Taswira za Sherehe ya WaTanzania nchini Sweden na mkutano wa kumkaribis​ha balozi Dora Msechu

Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za Nordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe mwihoni mwa juma ambapo  Watanzania kibao walifika kutoka karibia kila kona ya Sweden. Siku ilianza kwanza na mkutano na Mama Dora Msechu kujitambulisha rasmi kwawatanzania. Baada ya mkutano kulikua na chakula na Dansi kusherekea Tanzania day. Kivutio kingine kikubwa ni umahiri wa maDJ wakali hapa Sweden wakitambulika kwa majina ya Dj Richie na Dr Erick Kalebi ambao walitumbuiza mziki wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. DORA MMARI MSECHU AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO DENMARK.

Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akiongea na Watanzania waishia Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 siku alipokutana nao kwenye  Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..Balozi wa Tanzania wa nchi za Nordic na Baltic Mhe. Dora Mmari Msechu akisalimiana na  watanzania waishio nchini Denmark siku ya Jumamosi Februari 21, 2015 Hafla iliyofanyika Radisson Blue Royal Hotel. Hammarichsgade 1, 1611 Kopenhagen..

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Malkia wa Denmark.

Balozi wa Tanzania kwenye nchi za Nordic na Baltiki, Mhe. Bibi Dora Mmari Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa  Mtukufu Malkia  Margrethe II wa Denmark tarehe 20 Februari 2015. Picha ya pamoja na Mkuu wa Kasri la Malkia  baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho.    

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN NA KUMKARIBISHA BALOZI DORAH MSECHU

 Mama Dora Msechu Mheshimiwa Balozi wa Tanzania nchi za kinordic na Baltic alipokelewa kwa shangwe.  Muziki hadi lyamba.…

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.

Tunapenda kuwatangazia kwamba siku ya Jumamosi tarehe 29 machi 2014, jumuiya yetu ya Watanzania Houston itafanya sherehe ya kusimika viongozi wapya wa jumuiya. Muda ni kuanzia saa mbili kamili jioni(8pm) katika anuani ifuatayo: Turquoise Center, 9301 West Bellfort Ave. Houston TX 77031.
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akisindikizwa kuingia kwenye kasri ya Mfalme wa Sweden ili kuwasilisha hati zake za utambulisho.  Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na Mfalme wa Sweden  kasri ya Mfalme wa Sweden akipofika kuwasilisha hati zake za utambulisho.   Balozi mpya wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Dorah Msechu akipeana mikono na Mfalme wa Sweden baada ya kuwasilisha hati za utambulishoBaada ya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI DORA MSECHU AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA SWEDEN

Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Dora Msechu (kushoto) amekutana na wafanyabiashara wa Sweden kwenye mkutano ulioandaliwa na Baraza la Biashara la Sweden na Afrika Mashariki(Swedish East Africa Chamber of Commerce)
Mhe. Balozi Dora Msechu amewahamasisha Wafanyabiashara wa Sweden kuwekeza Tanzania kwa kuwaeleza fursa za uwekezaji zilizopo na mikakati ya Serikali ya Tanzania ya kuboresha miundombinu.Sehemu ya Wafanyabiara hao wa nchini Sweden wakiwa kwenye kikao na Balozi wa Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Norway

Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akisalimiana na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani