Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE, TANGA-BAKWATA

Sikukuu ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu. Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza Januari 3 na kumalizika Januari 4. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa  Bin Shaaban Simba anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema. Hata hiyo Katibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE,TANGA-BAKWATA



Sikukuu ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu. 
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza Januari 3 na kumalizika Januari 4.


Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa  Bin Shaaban Simba anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema.


Hata hiyo Katibu Mkuu Lolila aliwataka waislam wote nchini kushirikia kikamilifu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya Mazingira Kitaifa kufanyika Mkoani Tanga, Juni 5 mwaka huu

PIX-1-2Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge (Pichani)

 

NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea  kukabiliana na changamoto za uharibifu  wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji  wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya  maadhimisho ya Siku ya Mazingira...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikukuu ya Maulid kukutanisha wanawake Dar

MWENYEKITI wa Kamati ya Maandalizi ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Mohamed (S.W.A) Mkoa wa Dar es Salaam, Eshe Sululu, amewataka wanawake wote kujumuika pamoja Januari 14 kwa ajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MAULID JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Waumini wa Dini ya Kiislam wakiandamana jijini Dar es Salaam leo jioni, wakati wa kuadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.W.A).




PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG


 

9 years ago

Michuzi

KILIMANJARO STUDIO INAWATAKIA KHERI YA SIKUKUU YA MAULID, CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

Nesi WanguKilimanjaro Studio iliyopo Beltsville, Maryland inatoa salamu za kheri ya sikukuu ya Maulid, Christmas na mwaka mpya kwa wadau wote wa Vijimambo Blog, Kwanza Production na Nesi Wangu Blog. Sikukuu iwe ya upendo na amani na muweze kusherehekea kuuaga mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka 2016.Kama hukutimiza malengo mwaka 2015 usijali mwaka 2016 ni mwaka wa kujipanga upya na Kilimanjaro studio inakutakia kila la kheri kwa mwaka mpya 2016 uwe mwaka wa mafanikio makubwa kwako na kumwomba Mwenyezi...

 

10 years ago

Michuzi

MAULID MAKUBA KUFANYIKA WELLINGBOROUGH NCHINI UINGEREZA (UNITED KINGDOM)

Kwa heshima na taadhima mnakaribishwa kwenye hadhara ya kuadhimisha mazazi ya Mtume Muhammad Allah amuiye radhi.
Hadhara itafanyika siku ya Jumamosi sawa na tarehe 21/02/2015  kwenye anuani ifuatayo ‘4O GOLDSMITH ROAD NN8 3RU’ kuanzia saa nane mchana hadi saa moja usiku.
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali wamealikwa kwa malengo ya kuilezea historia ya Mtume Muhammad (SAW) kwa kina. Sheikh Muhammadul Eid (Abu Eid) ataongoza shughuli hiyo kama mgeni rasmi.  Pamoja na mambo mengine hadhara ina...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA KOROGWE TANGA

Tunasikitika kutangaza kifo cha baba yetu mpendwa Mzee K.G. NGOWI wa Korogwe Tanga kilichotokea tarehe 16/02/2014. Mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 21/02/2014 nyumbani kwake Marangu, Mamba Mboni. Habari ziwafikie ukoo wa Ngowi, wakwe zake ukoo wa Kessy na wajomba zake ukoo wa Moshi. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake.

 

9 years ago

Michuzi

MAFURIKO YAKWAMISHA ABIRIA KOROGWE MKOANI TANGA

 Abiria waliokuwa wanasafiri na basi la Burudani lenye namba za usajili T 572 BXJ kutoka jijini Dar Es Salaam kwenda Mashewa wilayani Korogwe mkoani Tanga na abiria wa vyombo vingine vya usafiri jana walijikuta wakikwama kwa masaa mengi katika eneo la Magoma baada ya mvua zinaoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tanga kuharibu miundombinu ya barabara huku mazao mengi ikiwemo mpunga na mahindi yakisombwa na mafuriko Picha na Vedasto Msungu wa ITV

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani