MAULID MAKUBA KUFANYIKA WELLINGBOROUGH NCHINI UINGEREZA (UNITED KINGDOM)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JifuqifW9D4/VObnYk94GwI/AAAAAAAHEsM/Y40YCuoij_E/s72-c/Untitled.png)
Kwa heshima na taadhima mnakaribishwa kwenye hadhara ya kuadhimisha mazazi ya Mtume Muhammad Allah amuiye radhi.
Hadhara itafanyika siku ya Jumamosi sawa na tarehe 21/02/2015 kwenye anuani ifuatayo ‘4O GOLDSMITH ROAD NN8 3RU’ kuanzia saa nane mchana hadi saa moja usiku.
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali wamealikwa kwa malengo ya kuilezea historia ya Mtume Muhammad (SAW) kwa kina. Sheikh Muhammadul Eid (Abu Eid) ataongoza shughuli hiyo kama mgeni rasmi. Pamoja na mambo mengine hadhara ina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi05 Sep
KATIBU MKUU OFISI YA RAISI ZANZIBAR, MHE. SALUM MAULID AFUNGA MKUTANO WA TANZANIA DIASPORA BUSINESS CONVENTION 2015 NCHINI UINGEREZA
9 years ago
Dewji Blog28 Dec
Maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli kufanyika leo nchini Uingereza!!
Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Msafiri Marwa anatarajiwa kuwa mgeni rsmi katika maombi maalum ya kumuombea Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli maombi yanayotarajiwa kufanyika leo nchini Uingereza. Maombi hayo yataendeshwa na Bishop Francis Sarpong, Pastor Mkuu wa Swahili Bob Baraka na wengineo.
10 years ago
TheCitizen17 Sep
Why United Kingdom is keen to partner with Tanzania
5 years ago
Jakarta Post28 Feb
United Kingdom has 19 confirmed cases of the new coronavirus - The Jakarta Post
5 years ago
GlobeNewswire21 Mar
United Kingdom Building Construction Industry Forecasts to 2024
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mAHYQtHlLj6f*upM*Sk9zaBkBqZkWR6k9IUYphHl6ucbsTzd*grt9xkN6oNDO1XRHhtl4qbLZGNf6iQa2W33PYzP*yWuTBli/bakwatalogo.gif?width=377)
SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE, TANGA-BAKWATA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-f-QZNQjsO8c/VKaGOLkCUhI/AAAAAAAG66Q/KQsFa3KezoU/s72-c/bakwata%2Blogo.gif)
SIKUKUU YA MAULID KITAIFA KUFANYIKA KOROGWE,TANGA-BAKWATA
![](http://3.bp.blogspot.com/-f-QZNQjsO8c/VKaGOLkCUhI/AAAAAAAG66Q/KQsFa3KezoU/s1600/bakwata%2Blogo.gif)
Sikukuu ya Maulid kitaifa inaratajia kufanyika wilayani Korogwe mkoani Tanga Januari 4 Mwaka huu.
Kwa taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislaam Tanzania (Bakwata),Suleiman Said Lolila ilisema Maulid itaanza Januari 3 na kumalizika Januari 4.
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania ,Issa Bin Shaaban Simba anawatakia waislaam na wananchi kwa ujumla maulid njema.
Hata hiyo Katibu Mkuu Lolila aliwataka waislam wote nchini kushirikia kikamilifu...
10 years ago
Dewji Blog06 Nov
Tony Blair, Former Prime Minister of the United Kingdom, to Present a Keynote Address at the 2015 Mining Indaba
Mining Indaba, the world’s largest mining investment event will take place on 9 – 12 February 2015 in Cape Town, South Africa
The organisers of the annual Investing in African Mining Indaba (http://www.miningindaba.com) announced today that Tony Blair, Prime Minister of the United Kingdom (1997 – 2007) will participate in a keynote presentation at the 2015 annual conference. Euromoney Institutional Investor Managing Director, Mr. Christopher Fordham, will host an “Interview with Tony...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_3O-rlSXN8Y/VDHJMKAOXEI/AAAAAAAGoLs/uUT9Q2F9h3o/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
The Lord Mayor of Coventry in West midlands in the United Kingdom Count Hazel Noonan pays a visit to Tanzanian community in coventry
At the evening hosted by madrasatul Aqsaa , a community supplementary school,she commended the good work done by this community and pledged the support of the Government.The head of the school Ustadh Ally Khamisi told ...