Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maombi maalum ya kumuombea Rais Magufuli kufanyika leo nchini Uingereza!!

5756a1ac-4bb3-4135-b626-84003aa2fca3

Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Msafiri Marwa anatarajiwa kuwa mgeni rsmi katika maombi maalum ya kumuombea Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli maombi yanayotarajiwa kufanyika leo nchini Uingereza. Maombi hayo yataendeshwa na Bishop Francis Sarpong, Pastor Mkuu wa Swahili Bob Baraka na wengineo.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Ibaada ya Kumuombea Rais Magufuli yafanyika London, Uingereza

Magufuli aombewa london (1)Picha maalumu ya rais Magufuli (chini) ni sehemu ya wanakwaya.
Magufuli aombewa london (2)Askofu mkuu wa kanisa la CCBC, Dk. Sarpong kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada hiyo.
Magufuli aombewa london (3)Mgeni rasmi Naibu Balozi , Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani kwa waandaaji na wahudhuriaji.Magufuli aombewa london (4)Baadhi ya Watanzania, wahamasishaji wakiwa na bendela ya Tanzania.Magufuli aombewa london (8)Magufuli aombewa london (7)Sehemu ya wahudhuriaji.

HAPA KAZI TU! Waafrika waishio jijini London, Uingereza, Desemba,  28 mwaka huu walifanya maombi maalumu ya kumuombea Rais wa Awamu ya Tano wa...

 

9 years ago

Michuzi

Ibada maalum ya kumuombea Dkt. Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London

 Askofu Mkuu wa kanisa la CCBC Dr Sarpong (kushoto) kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jijini London usiku wa kuamkia leo. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani wakati wa ibada hiyo jijini London.Wanakwaya wa kanisa la CCBC wakiimba kwenye Ibada hiyo jijini London Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipata...

 

11 years ago

GPL

RAIS DKT.SHEIN AELEKEA NCHINI UINGEREZA KWA SAFARI MAALUM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Shein aelekea nchini Uingereza kwa safari maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, katika ukumbi wa Mapumziko ya Viongozi VIP uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karumre Zanzibar,kabla ya kuondoka nchini kuelekea nchini Uingereza kwa safari maalum. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiagana na Vingozi mbali mbali na wazee wa Chama katika...

 

9 years ago

StarTV

Waumini wa Kiislamu Singida wafanya dua maalum kumuombea Magufuli.

Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Singida wamefanya dua maalum ya kumuombea Rais John Pombe Magufuli ili Mungu ampe afya njema, nguvu na ujasiri wa kuendelea kupambana na wezi wa mali za umma, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka pamoja na vitendo vya ufisadi nchini.

Lengo ni kuhakikisha kuwa Rais Magufuli anajenga uaminifu na uadilifu miongoni mwa watumishi wa umma kwa kutumia kauli mbiu yake ya kutumbua majipu ili kurejesha imani zaidi kwa wananchi.

Katika Msikiti wa Mhajirina uliopo...

 

10 years ago

Michuzi

Umoja wa misikiti ya Ilala kumuombea Dua maalum Rais Kikwete

Bismillah Rahman Rahim. Umoja wa misikiti ya Ilala unawaomba/unawaalika kushiriki katika Dua maalum ya kumuombea Mh. Rais Alhaji Jakaya Mrisho Kikwete,ili aweze kupona maradhi yake, siku ya Alhamis tarehe 20/11/2014 saa mbili usiku ( baada ya swalatul isha'a). 
Dua itafanyika masjid TAQWA Ilala-Bungoni. Nyote mnakaribishwa. Imetolewa na Sheikh Abdul Wakati- Mwenyekiti wa umoja wa misikiti ILALA.Rais Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo,wakati akiwa kwenye matibabu,nchini...

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO WA RAIS NCHINI ZAMBIA KUFANYIKA LEO

Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi 2016 ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu.
Katika uchaguzi huu wagombea kutoka vyama vya siasa vipatavyo kumi na moja (11) wamejitokeza...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AMUWAKILISHA RAIS MAGUFULI DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume, katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani