Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAZ BABA: SAJENT HAKUSTAHILI KUOLEWA NA MIMI

Na  Musa Mateja
RAIS wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ hakustahili kuwa mkewe licha ya kwamba walizaa naye mtoto mmoja.
Akizungumza na Global TV Online hivi karibuni, Chaz Baba alisema Sajent ni mwanamke mzuri lakini hana vigezo vya kuolewa na yeye kwani wote ni maarufu. Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

CHAZ BABA: SAJENT AMEGOMEA MWANANGU

Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ amefunguka kuwa anatamani kuishi na mwanaye aliyezaa na mwigizaji Husna Idd ‘Sajent’ lakini mzazi mwenziye huyo amekuwa akimgomea. Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akizungumza na paparazi wetu, Chaz Baba alisema kabla hajaoa alikuwa...

 

10 years ago

GPL

CHAZ BABA NUSURA AMUUE MKEWE!

Stori: Shakoor Jongo
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ anadaiwa nusura amtoe roho mkewe wa ndoa, Rehema Sospeter Marwa baada ya kumpiga  na kitu kizito kichwani mpaka kushonwa nyuzi ishirini. Mke wa ndoa wa 'Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa akiwa na majereha kichani. MANENO YA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo karibu na wanafamilia hao (jina...

 

10 years ago

GPL

CHAZ BABA ATEMBEZA KICHAPO MTAANI!

Issa Mnally
Mtiti! Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ ametembeza kichapo mtaani kwa kuwatandika bakora vijana waliokuwa wakimrekodi kwenye simu wakati akihangaika kufungua tairi la gari lake lililopata pancha. Tukio hilo lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilijiri hivi karibuni, maeneo ya Makumbusho, Dar, anakoishi staa huyo.
Awali, mwanamuziki huyo aliegesha gari lake hilo aina ya...

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Chaz Baba akizungumza na waandishi na wahariri wa Global Publishers (hawapo pichani). Akisikiliza maswali kutoka kwa waandishi na wahariri wa Global (hawapo pichani).…

 

11 years ago

GPL

ROSE, CHAZ BABA BIFU ZITO

Na Shakoor Jongo TIFU! Ni dhahiri kuwa sasa, staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na Rais wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ wapo kwenye bifu zito.Habari kutoka kwa chanzo chetu zinasema kuwa, chanzo cha bifu hilo ni fedha, ambapo Rose alikodisha gari la Chaz Baba kwa ajili ya matumizi yake lakini akalirudisha likiwa limeharibika na kumuomba Chaz alitengeneze kisha angemlipa fedha zake, lakini...

 

10 years ago

GPL

CHAZ BABA UKIENDEKEZA KUPIGA, JELA INAKUHUSU

Charles Gabriel ‘Chaz Baba’. KWAKO jembe, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’. Mwalimu wao kwenye muziki wa dansi Bongo. Uwezo wako nautambua, nimekuwa shabiki wako kwa muda mrefu kidogo.Ni matumaini yangu uko poa, unaendelea na mishe zako kama kawaida. Mimi mzima, namshukuru Mungu maisha yanasonga. Jukumu langu la kuandika na kukosoa linaendelea na leo nimekukumbuka wewe.Dhumuni la kukumbuka leo kwanza ni...

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIMTOI MWANANGU KWA CHAZ BABA NG’O

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ kudai ana mpango wa kumchukua mwanaye ili akaishi naye, hatimaye mzazi mwenzake, Husna Idd ‘Sajenti’,  amesema hawezi kumtoa mwanaye. Mkali wa Bongo Dansi kutoka Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’ akiwa kwenye ofisi za Global Publishers. Akistorisha na paparazi wa...

 

11 years ago

GPL

SAJENTI: SIWEZI KUSAHAU KITENDO CHA CHAZ BABA KUMKANA MWANANGU

MIMI napenda kukuuliza kwa nini uliachana na mwanamuziki Chaz Baba na inavyoonekana mnaendana sana? Selemani Alifa, Dar, 0718803204
SAJENTI: Kila kitu kina wakati wake hivyo ule ulikuwa ni wakati wangu lakini haikuwa riziki. Mwanamuziki Chaz Baba. PICHA ZA UTUPU
Kwa nini unapenda kupiga picha za utupu? Huoni kama unaishusha hadhi yako? Andrew Kazala, Dar, 0717179570
SAJENTI: Sijawahi kupiga picha za utupu. URAFIKI
...

 

11 years ago

GPL

CHAZ BABA, CHRISTIAN BELLA, BANANA ZORRO, FAGASON WALAMBA TUZO UPYA

Mke mtarajiwa wa Mkurugenzi wa Kampuni ya First Entertainment  aitwaye Pauline Daniel (kushoto)  akimkabidhi tuzo ya heshima kiongozi wa Bendi ya Mashujaa, Charles Gabriel ‘Chaz Baba,’ kwenye hafla fupi iliyofanyika  usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Kwetu  Pazuri Tabata jiji Dar es Salaam. Rais wa Bendi ya Malaika, Christian Bella (kulia)  akipokea tuzo yake ya heshima kutoka kwa mwakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani