Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAWAZIRI WA JPM WAIBUA MASWALI

MTZ jmosi new july.inddNa Waandishi Wetu

 BARAZA la Mawaziri la Rais John Magufuli alilolitangaza juzi limezua maswali mengi, kutokana na kile kinachoelezwa kujaa makosa mengi ya kimantiki na kiufundi.

Wasomi na watu wa kada mbalimbali ambao wameutazama muundo pamoja na aina ya watu walioteuliwa kuunda Baraza hilo la Mawaziri wameyataja mambo sita ambayo yanaonekana kujenga taswira ya kuwako kwa nyufa katika baraza hilo.

Mambo hayo ni pamoja na uteuzi kutozingatia suala la Muungano, uwiano wa mikoa, mawaziri wasio...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waibua maswali 14

Siku moja baada ya taasisi ya Twaweza kutoa ripoti ya maoni ya wananchi kuhusu uchaguzi wa Oktoba 25, maswali yameibuka kwenye mijadala mbalimbali miongoni mwa wananchi, yakihoji jinsi maoni hayo yalivyokusanywa, wafadhili wa utafiti na namna maamuzi kadhaa yalivyofikiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti wa CCM waibua maswali-Wadau

Siku moja baada ya CCM kutoa utafiti wake unaoonyesha mgombea wao wa urais, Dk John Magufuli atashinda kwa asilimia 69.3, baadhi ya wasomi wamesema utafiti huo umeibua maswali mengi kwa wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza

Matokeo ya utafiti wa Twaweza kuhusu Uchaguzi Mkuu uliotolewa siku tatu zilizopita yameendelea kupingwa, safari hii Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiibua hoja tisa walizoita za propaganda na kasoro nyingine tisa za kiufundi.

 

9 years ago

GPL

WIMBO WA SORRY WA CHRIS BROWN WAIBUA MASWALI!

NEW YORK, Marekani
WIMBO wa hivi karibuni alioutoa Mwanamuziki Rick Ross akimshirikisha Chris Brown unaokwenda kwa jina la Sorry, umeibua maswali kutokana na mashairi yake kuwagusa wapenzi wa zamani wa Chris, Karrueche Tran na Robyn Rihanna Fenty. Wadau baada ya kusikiliza wimbo huo wamebaki njia panda huku wakishindwa kuelewa wimbo huo ni maalum kwa nani kati ya wawili hao. Hata hivyo, wengi wanaamini Sorry ni kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Waibua maswali kusimamishwa kazi kwa aliyemtumia ‘SMS’ JK

>Nani alivujisha siri? Hili ndilo swali linaloumiza vichwa vya wananchi wengi sasa, baada ya Hospitali ya KCMC kumsimamisha kazi mtumishi wake, kwa madai ya kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Vijimambo

Utafiti wazua taharuki, waibua maswali tata.Kura za maoni: Twaweza yaipa CCM ushindi wa 65%, Ukawa 25%

Mkurugenzi Mkuu wa Twaweza, Aidan Eyakuze akihojiwa na wanahabari
Matokeo ya utafiti kuhusu uchaguzi mkuu yaliyompa ushindi wa asilimia 65 mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli dhidi ya asilimia 25 za Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yameibua taharuki kubwa huku baadhi wakiupinga, kuunga mkono na wengine kuibua maswali kadhaa magumu.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, katika tukio lililorushwa moja kwa moja (live)...

 

9 years ago

Mwananchi

Siku 16, maagizo 40 ya mawaziri wa JPM

Huu ndiyo ukweli. Leo zimetimia siku 16 tangu kuapishwa kwa mawaziri 30 wa Serikali ya Awamu ya Tano, lakini tayari wameshatoa matamko 40 kwa watendaji wa Serikali, taasisi na mashirika yaliyopo chini ya wizara zao.

 

9 years ago

Mwananchi

Kasi ya mawaziri wa JPM watia shaka

Licha ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano kutokaa ofisini wakishughulikia matatizo ya wananchi, wasomi bado wana shaka kuwa huenda kasi waliyoanza nayo ni ya muda na kwamba baadhi yao wanafanya kwa nidhamu ya woga.

 

9 years ago

Mwananchi

JPM aweka rekodi ya siku 25 ya mawaziri

Rais John Pombe Magufuli amekuwa wa kwanza tangu mfumo wa vyama vingi kuanza nchini kutumia muda mrefu kutangaza Baraza la Mawazi kutokana na kile wasomi, wachambuzi wa siasa kusema pengine anapata wakati mgumu kupata mawaziri watakaoendana na kasi yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani