WIMBO WA SORRY WA CHRIS BROWN WAIBUA MASWALI!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/chris-brown.jpg?width=650)
NEW YORK, Marekani WIMBO wa hivi karibuni alioutoa Mwanamuziki Rick Ross akimshirikisha Chris Brown unaokwenda kwa jina la Sorry, umeibua maswali kutokana na mashairi yake kuwagusa wapenzi wa zamani wa Chris, Karrueche Tran na Robyn Rihanna Fenty. Wadau baada ya kusikiliza wimbo huo wamebaki njia panda huku wakishindwa kuelewa wimbo huo ni maalum kwa nani kati ya wawili hao. Hata hivyo, wengi wanaamini Sorry ni kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL23 Aug
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGgY9t1iQR5IFOyxqFDHnWEq1RIUzNZZ085slwMyulArmIacvRUIoLPDoqLh0Fju5Ih*dQqPE9l56fZ6Q-cb5rbl/CHRISBROWN.jpg?width=650)
CHRIS BROWN AICHORA LAMBORGHINI YAKE MASHAIRI YA WIMBO WA 2PAC
9 years ago
Bongo529 Sep
Mtoto wa Chris Brown sasa ni Royalty Brown rasmi
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Utafiti Twaweza waibua maswali 14
9 years ago
Mtanzania12 Dec
MAWAZIRI WA JPM WAIBUA MASWALI
Na Waandishi Wetu
BARAZA la Mawaziri la Rais John Magufuli alilolitangaza juzi limezua maswali mengi, kutokana na kile kinachoelezwa kujaa makosa mengi ya kimantiki na kiufundi.
Wasomi na watu wa kada mbalimbali ambao wameutazama muundo pamoja na aina ya watu walioteuliwa kuunda Baraza hilo la Mawaziri wameyataja mambo sita ambayo yanaonekana kujenga taswira ya kuwako kwa nyufa katika baraza hilo.
Mambo hayo ni pamoja na uteuzi kutozingatia suala la Muungano, uwiano wa mikoa, mawaziri wasio...
9 years ago
Mwananchi18 Sep
Utafiti wa CCM waibua maswali-Wadau
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Ukawa waibua maswali 18 utafiti Twaweza
10 years ago
Mwananchi19 May
Waibua maswali kusimamishwa kazi kwa aliyemtumia ‘SMS’ JK