Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-2

Naendelea kuelezea kati ya uhusiano wa tumbo kujaa gesi na miungurumo  
inayotokea tumboni nk.
Kuna ile hali ya mtu kutokujisikia kufanya kitu chochote, yaani kulala inakuwa ni ngumu kwake, kukaa anapata tabu sana, akienda kwenye kazi zake anakua mzito.
Wakati huohuo, anaandamwa na kukosa choo kwa muda mrefu nayo ni dalili kubwa sana ya tatizo linaloitwa constipation kitaalamu.

Dalili nyingine kubwa inakuwa ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAHUSIANO KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MUUNGURUMO-3

Wiki iliyopita tuliweza kujibu swali ambalo lilikuwa na utata kwa watu wengi na tukaona kwamba mtu anayepatwa na tatizo hili la kuunguruma kwa tumbo, tumbo kujaa gesi kwamba siyo dhaifu kwenye tendo la ndoa tu bali hata kwenye kufanya mambo mengine pia wanakumbwa na udhaifu. MADHARA YA TATIZO HILI {CONSTIPATION}
Basi leo tutayaona madhara makubwa ambayo yanawakuta watu wanaopatwa na tatizo kama hili na wanakuwa hawachukui hatua...

 

10 years ago

GPL

JE, KUNA UHUSIANO WOWOTE KATI YA TUMBO KUJAA GESI NA MIUNGURUMO KWA MWANAUME KATIKA TENDO LA NDOA?

Watu wengi wamekuwa wakiwasiliana nasi wakihusisha haya mambo mawili hasa wanaume pasipo kujua kama yanahusiana kwa ukaribu au laa. Na kwa maana hiyo, leo watu wengi wataweza kujua uhusiano wa haya mambo mawili yaani miungurumo ya tumbo, tumbo kujaa gesi na miungurumo ya hapa na pale katika kushiriki tendo la ndoa au kupungukiwa na nguvu katika kushiriki tendo la ndoa. Tatizo hili kitaalamu huitwa constipation, yaani mtu kuwa na...

 

11 years ago

GPL

MTOTO WA TUMBO KUJAA, DALILI NJEMA

KATIKA Gazeti la Risasi Jumamosi la Juni 28, mwaka huu ukurasa wa 16 kulikuwa na habari yenye kichwa; EE MUNGU NISAIDIE. Habari hiyo ilimhusu mtoto Salum Kassim wa miaka 16 anayesumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa maji na kulifanya kuwa kubwa sana huku madaktari wakisema chanzo ni hitilafu kwenye moyo. Salum Kassim anayesumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa maji. Baada ya maelezo ya mtoto huyo kuhusu ugonjwa huo mbaya na maisha duni...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza mahusiano kati ya Tanzania na Hospitali za Apollo

kikwete-04

kikwete-05

kikwete-06

Mahusiano kati ya Tanzania na India yalianza miaka mingi iliyopita, tangu kipindi hicho mahusiano haya yamekua kufikia mafanikio ya hali ya juu kwa nchi zote mbili.  Rais Jakaya Kikwete alitembelea nchini India ambapo alikutana na maafisa mbali mbali wa Serikali hiyo ya India pamoja na maafisa watendaji wakuu wa makampuni pamoja na  taasisi mbali mbali.  Pia wakati wa ziara hii Rais alisaini makubaliano ya kushirikiana kati ya serikali ya Tanzania na Hospitali za Apollo nchini...

 

10 years ago

Bongo5

Batuli aeleza kwanini mahusiano kati ya mastaa wa Bongo hayadumu

Mwanadada ambaye ni mrembo katika tasnia ya filamu, Yobnesh Yussuph aka Batuli amezungumzia changamoto zinazowakumba mastaa wa Tanzania walio kwenye uhusiano wa kimapenzi ambazo huwafanya washindwe kudumu. Akizungumza na Bongo5 leo, Batuli amesema tatizo kubwa ambalo lipo kwa mastaa wa Bongo ni kutojua mapenzi na na kutokuwa na pesa. “Huwezi kufananisha maisha ya couples za […]

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KISHERIA, MAHUSIANO KATI YA MME NA MKE KWA MIAKA MIWILI NI NDOA

Na  Bashir  Yakub
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, zipo aina nyingi za ndoa. Pamoja na kuwa na aina nyingi za ndoa, ndoa hizi tunaweza kuzigawa katika makundi makuu mawili. Kwanza, ndoa za serikali(civil marriage) na Pili ni ndoa za kimila(customary marriage).
Ndoa za serikali ni zile ndoa zinazofungwa kwa mkuu wa Wilaya, Msajili wa ndoa pamoja na katika Ofisi nyingine za serikali kama Ubalozini n.k.
Ndoa za kimila ni zile ndoa zinazofungwa kulingana na taratibu za kabila la wahusika; kwa mfano...

 

9 years ago

StarTV

Usafirishaji gesi: Kisima namba 3 cha Gesi Msimbati Mtwara chafunguliwa

Matumaini ya kuanza kuzalishwa umeme unaotokana na gesi siku chache zijazo yameanza kudhihirika baada ya kisima namba 3 cha gesi kilichoko Msimbati wilayani Mtwara kufunguliwa.

Lengo ni kuruhusu gesi kusafiri kwenye bomba hadi Madimba kuwezesha hatua ya uchakataji kuanza.

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania TPDC James Mataragio akifungua rasmi bomba hilo kutoka kisima No MB 3 katika kijiji cha Msimbati na kubainisha kuwa mradi huo umejengwa kwa muda mfupi sana...

 

10 years ago

Mwananchi

Kukua au kujaa matiti kwa mwanaume

Kwa kawaida mwanaume ameumbwa kuwa na matiti madogo, ugonjwa wa wanaume kuwa na matiti makubwa kama wanawake huleta usumbufu hasa wa kisaikologia kwa mwanume husika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani