Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB

Kuelekea mpambano  wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’  ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la Etihad lachangisha Dirham Milioni moja kwa ajili ya “We Care Yemen” na shule mbili nchini Kenya

4 Nepal Team

 Dr Khawla Salem Al Saaedi, Mwakilishi wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Umoja wa Wanawake na aAya, akiwazawadia timu kutoka Nepal kwa kushinda michuano ya kimataifa ya mavazi.

6 football teams

Kamati ya Michezo na Jamii wakiwa na baadhi ya wachezaji wa soka.

5 Costume team

Kamati ya Michezo na Jamii wakiwa na baadhi ya washiriki wa michuano ya kimataifa ya mavazi.

1 Soccer team

Shirika la ndege likiwatunuku timu ya soka kutoka Serbia kama bingwa wa michuano ya kombe la dunia la mashirika ya ndege  upande wa soka.

7 Fusion Art Ballet

Abu Dhabi-based...

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo :Naelekea Harusini-Ray

Baada  ya kuonekana  kukataa kuweka dau mezani,  Staa wa Bongo Movies ‘Ray’ ambae ni shabiki mkubwa wa Yanga ameshare nasi picha akiwa anaelekea kiwanjani kushuhudia mechi ya watani wa jadi,  Simba na Yanga  inayopigwa leo uwanja wataifa.  

“Nimeshajiandaa tayari sasa naelekea harusini.....nasikia biharusi kapendeza sana”-aliandika na kumtagi JB

Baadhi ya watu wanamuliza  bila majibu kama ameweka mazigo au la?  Au hana uhakika na timu yake?

Siku ya jana  JB  ambae ni mshabiki wa Simba,...

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili


Katika hotuba yake amesema haingii ikulu kutafuta fedha anaenda ikulu kwa kazi moja tu ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo . Amesema dhamira yake ni kuona taifa linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Amesema atapunguza mshahara wa Rais ambao analipwa hivi sasa dola 192,000 sawa na milioni mia nne kwa mwezi hadi kufikia milioni mbili kwa mwezi amesema kuna faida gani ya mtu kupokea mshahara wote huo ili hali wananchi wako hawana maji , zahanati hakuna dawa, pembejeo za kilimo zipo juu,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray:Mimi si Msanii wa Mlipuko

Staa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray the Greatest’ amefunguka kwa kusema kuwa sinema zake si kuangalia filamu gani imeingia sokoni na kufanya vizuri kwa staili fulani na yeye akakurupuka na kutengeneza filamu kwa mlipuko.

“Mara nyingi wapenzi wa sanaa si rahisi wanapenda nini? Lakini ninawajua wapenzi wa filamu zangu hivyo inakuwa vigumu sana kujiingiza katika filamu za mlipuko, baada ya filamu moja kufanya vizuri, basi kila mtu anatoka na staili hiyo hiyo,”anasema Ray.

“Tumeshuhudia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.

“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema...

 

10 years ago

Mwananchi

Hamad: Kura mbili zimetokana na mimi

>Ushindi wa kura mbili za wajumbe wa Zanzibar ambao uliwezesha kupita kwa Katiba inayopendekezwa, umeelezwa kuwa ulitokana na ushawishi mkubwa wa mjumbe Hamad Rashid Mohamed.

 

10 years ago

Bongo Movies

Chuchu Hans:Ninachojua mimi Johari hakuwahi kuwa mpezi wa Ray!!!

Mrembo na muigizaji wa filamu Chuchu Hans ameyameha hayo kwenye alipokuwa akiohijwa kwenye kipidi cha Take One kinachorushwa na kitucho cha televisheni cha Clouds TV.

“Ninachojua JOHARI hakuwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na RAY ila ni Partners in Business tofauti na watu wanavyofahamu"

Chuchu Hans  alisisitiza kuwa bado yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’mbali na tetesi za zilizoenea kuwa wameteman.

Ray anadaiwa  kuwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Binyavanga:Mimi ni mpenzi wa jinsia moja

Mwandishi maarufu wa vitabu nchini Kenya, Binyavanga Wainaina, amejitokeza hadharani kuwa yeye hushiriki mapenzi ya jinsia moja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani