Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.
“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 May
Wauza Sura Wamtesa Batuli
Staa wa Bongo Movies, Yobnesh Yussuf ‘Batuli’ amekiri kuteswa na suru nzuri za wanaume ambao huwa wanamfuata kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi huku wengine wakimuahidi kumuoa na kuwakubalia ombi lao na kuelekeza mapenzi yake yote kwao.
Azungumza na tanuru la fulamu hivi karibuni batuli alisema kuwa yeye huwa anapenda mwanaume mpole na mwenye kujiheshimu ili watengeneze maisha yao na penzi linapo kolea na kujiachia kimahaba sura hizo hubadilika na kuwa mwiba kwake hali ambayo humfanya ...
10 years ago
Bongo Movies28 Jun
UWOYA: Aonya Wauza Sura Bongo Movie
Baada ya kuwa mrembo asiye kifani aliyefanikiwa Zaidi kwenye fani , Irene Uwoya ameonya wasanii wa kike wa Filamu wanaochipukia kutonaswa na mtego wa kutumia uzuri wa Sura na Maumbo yao kujimaliza kisanii.
Akizungumza na gazeti la Nipashe Uwoya alisema wasanii wengi wa sasa wanashindwa kufanya kazi kwa sababu wanaona kazi hiyo ni sehemu ya kupatia wapenzi wa kiume.
Alisema wacheza Filamu wa kike huwa wanapenda kujirahisisha kwa Wanaume na ...
11 years ago
GPL
KESI KIFO CHA KANUMBA, SURA MPYA!
10 years ago
GPL
RAY: KANUMBA ALIKUFA NA NYOTA YANGU!
10 years ago
Mwananchi26 Sep
Hakuna RAy wa 'kutisha' bila Kanumba
11 years ago
GPL
MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE
10 years ago
Bongo Movies20 Mar
Ray:Mimi si Msanii wa Mlipuko
Staa wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray the Greatest’ amefunguka kwa kusema kuwa sinema zake si kuangalia filamu gani imeingia sokoni na kufanya vizuri kwa staili fulani na yeye akakurupuka na kutengeneza filamu kwa mlipuko.
“Mara nyingi wapenzi wa sanaa si rahisi wanapenda nini? Lakini ninawajua wapenzi wa filamu zangu hivyo inakuwa vigumu sana kujiingiza katika filamu za mlipuko, baada ya filamu moja kufanya vizuri, basi kila mtu anatoka na staili hiyo hiyo,”anasema Ray.
“Tumeshuhudia...
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Ray Awashangaa Wanaodai Kanumba Ameondoka na Tasnia ya Filamu
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' hivi juzi kati kupitia kukursa wake kwenye mtando picha wa Instagram amendika mtazamo juu ya tasnia ya filamu na wadau wote kwa ujumla.
Napenda kuchukua furrsa hii kuwashukuru wadau wote kwa michango na sapoti yenu iliyosaidia kuifikisha tasnia ya filamu hapa ilipo.
Bila nyinyi pengine hadithi ingekuwa tofauti leo kikubwa ni kujenga moyo wa kizalendo kwa wasanii wetu leo kuna misemo kila kona eti Kanumba kafa na tasnia imekufa, najaribu...
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Vijimambo: Ray Weka Milioni Moja, Mimi Naweka Mbili-JB
Kuelekea mpambano wa watani wa jadi katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini, mchezo kati ya Simba na Yanga ambao utafanyika hapo kesho kwenye uwanja wa taifa jiji Dar, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambae ni mshabiki “kindakindaki” wa timu ya Simba amemtaka Staa mwenzake Vicent Kigosi ‘Ray’ ambae ni shabiki wa Yanga, aweke dau shilingi milioni moja kama alivyofanya mchezo uliopita na yeye JB ataweka milioni mbili, kama Yanga ikishinda Ray atachukua mzigo na kama Simba...