RAY: KANUMBA ALIKUFA NA NYOTA YANGU!
![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOh91QcjidhP4kacT3EvJZ7T*JQmsxLyHNekySZ0kaUI0h1qVdJQP7nFupQZ1LDIssjeWzSmrOHd68dmWm-5LulC/Kanumba.jpg?width=650)
Na Brighton Masalu Msanii Vincent Kigosi ‘Ray’ amekiri kwamba kufariki kwa Steven Kanumba kumemsababishia kuporomoka kisanaa na kiuchumi kwa kukosa ushindani thabiti kwenye game. Msanii Vincent Kigosi ‘Ray’. Akizungumza na mwandishi wetu katika mahojiano maalum hivi karibuni, Ray alisema Kanumba alipokuwa hai, alikuwa na changamoto kubwa katika ubunifu wa kazi na hata ushindani wa maisha ya kawaida....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies07 Mar
Kimlola:Kanumba Aliondoka na Nyota Yangu, Maombi Yameniokoa!
Mwigizaji wa filamu,Emmanuel Kimlola ‘Kimlola Kimlola’ ametamba kwa kusema kuwa maombi ya kazi zake katika uigizaji yamejibu kwani toka aokoke kila kitu akifanya kazi inajibu tofauti na siku zilizopita ilikuwa ngumu hata kupata kazi ya filamu na kushiriki hata sehemu ndogo, pengine watu walimsahau baada ya kifo cha Kanumba.
“Nilipatwa na hofu nikitaka kuamini kuwa labda swahiba yangu Marehemu Kanumba kaondoka na nyota yangu na hilo lilitokana na ukaribu na marehemu kwani ilikuwa kila akitoa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
BOB: Kanumba ametangulia na ahadi yangu
“KIFO cha mwigizaji Steven Kanumba kilinishtua na kuniuma, kwani ni mtu ambaye nilikuwa nimepanga kufanya naye kazi nyingi, lakini nikiwa nimeahidiwa kufanya naye kazi, ghafla furaha yangu iliingia dosari baada...
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Hakuna RAy wa 'kutisha' bila Kanumba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zLSzH-96bg-kz*w0ZQSf-U4t0JopuN26s*n9dKAwHQeiDRlxmBo9ajMtTKAw33xADRNhDVw*8vIKiyYbTousfxoulY1Qwk8X/mamak.jpg)
MAMA KANUMBA AFICHUA MAZITO YA RAY, MWANAYE
10 years ago
Bongo Movies05 Jun
Ray Awashangaa Wanaodai Kanumba Ameondoka na Tasnia ya Filamu
Staa mkubwa wa Bongo Movies, Vicent Kigosi 'Ray' hivi juzi kati kupitia kukursa wake kwenye mtando picha wa Instagram amendika mtazamo juu ya tasnia ya filamu na wadau wote kwa ujumla.
Napenda kuchukua furrsa hii kuwashukuru wadau wote kwa michango na sapoti yenu iliyosaidia kuifikisha tasnia ya filamu hapa ilipo.
Bila nyinyi pengine hadithi ingekuwa tofauti leo kikubwa ni kujenga moyo wa kizalendo kwa wasanii wetu leo kuna misemo kila kona eti Kanumba kafa na tasnia imekufa, najaribu...
10 years ago
Bongo Movies13 Feb
Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!
Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.
“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema...
9 years ago
Bongo Movies26 Sep
RAY: Heshimuni Maamuzi Yangu
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Rachel: Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina
Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje
Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina...
10 years ago
Bongo Movies25 Jan
Mama Kanumba:Nitaendeleza ndoto za Kanumba kupitia "Kanumba Foundation"
Mama wa aliyekuwa nyota wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema kuwa kupitia Kampuni ya Kanumba The Great Film inakamilisha uanzishaji wa taasisi itakayoitwa, Kanumba Foundation.
Pia, alikanusha uvumi kuwa kampuni ya Kanumba imekufa, akifafanua jambo hilo alisema kampuni hiyo inaendelea na shughuli zake. Alisema kutakuwapo Kanumba Foundation ili kusaidia jamii wakiwamo wasanii katika masuala mbalimbali.
Akizungumza na gazeti la Mwananchi, Flora alisema uamuzi...