RAY: Heshimuni Maamuzi Yangu
(FREEDOM OF SPEECH ) Nyinyi tukaneni mpaka mchoke maana tangia muanze kutukana matusi hata mkwaruzo sijapata msinilazimishe kupenda mnachokipenda nyinyi. Heshimuni maamuzi yangu kwani kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi anayoyaona kwa upande wake ni sahihi, nasema hivi wananchi wana akili timamu hawawezi kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi hii kama wenyewe kwa wenyewe mnagombana mtaweza ongoza nchi hii mnavyoona watu wanajaa kwenye mikutano yenu mnafikiri mnapendwa hao wamekuja kuwashangaa...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
RAY: KANUMBA ALIKUFA NA NYOTA YANGU!
11 years ago
Bongo525 Oct
Ray C: Pole kaka yangu Chidi Benz, naumia kuona tatizo ulilokuwa nalo bado haujalitafutia jibu
10 years ago
Vijimambo
Heshimuni Wanawake enyi Mbuluraz!
10 years ago
Habarileo03 Jan
Shimbo: Wanafunzi heshimuni sheria za China
BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo amewataka wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma hapa, waheshimu sheria za nchi hii na kujiepusha na marafiki wanaotoka katika nchi zenye sifa ya vurugu.
9 years ago
Bongo529 Dec
Mwana FA: Sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote (Video)

Pengine hukuwa unalijua hili. Mwana FA hajawahi kuishi na baba yake katika maisha yake yote.
FA ametuambia hilo baada ya kumuuliza tofauti ya malezi aliyoyapata kutoka kwa baba yake na yale anayompa mwanae wa kike, Malikah.
“Mimi sijawahi kukaa na baba yangu maisha yangu yote,” anasema.
“Nimekuwa naruka ruka sana, mara nakaa kwa shangazi yangu, mara nakaa kwa babu yangu, kwa bibi yangu ndiyo kwetu ilikuwa, kwa shangazi yangu mwingine hivyo,” ameongeza.
“Experience niliyokuwa naiona ni kwa...
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
GPL
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Raia Mwema05 Aug
Watu wa ‘maamuzi’ magumu
MPAMBANO wa urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utahusisha wagombea wawili ambao wana sifa mo
Ezekiel Kamwaga