Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shimbo: Wanafunzi heshimuni sheria za China

Abdulrahman ShimboBALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo amewataka wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma hapa, waheshimu sheria za nchi hii na kujiepusha na marafiki wanaotoka katika nchi zenye sifa ya vurugu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BALOZI SHIMBO AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MHE. XI JINPING, RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA

Balozi wa Tanzania Nchini China,Lt. Jen. Mstaafu Abdulrahaman Amiri Shimbo akimkabidhi Mhe. Rais Xi Jinping hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu “The People’s Great Hall” ya Jamhuri ya Watu wa China, Beijing, tarehe 20 Machi 2014 . Balozi A.A Shimbo alikuwa wa kwanza kuwasilisha hati zake za utambulisho kati ya mabalozi 14 waliowasilisha hati zao siku hiyo. Mhe. Balozi Shimbo akiwa na Mhe. Rais Xi Jinping mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu “The...

 

9 years ago

Michuzi

HAFLA YA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA TANZANIA WUHAN-CHINA (WUTASA) KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WAPYA MWAKA WA MASOMO 2015/16

1Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya na wazamani. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).2Picha ya pamoja ya wanafunzi wapya. Walioketi mbele kutoka kushoto ni viongozi wa Wutasa, Gelas Rubakula (Naibu Katibu), Ally Salum (Katibu), Rajab Jafar (Makamu Mwenyekiti), Abel Masanja (Mwenyekiti) na Thomas Mtaki (Mwenyekiti Mstaafu).3

 

5 years ago

CCM Blog

CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA

China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa ChinaMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...

 

10 years ago

Vijimambo

Heshimuni Wanawake enyi Mbuluraz!

Hapa duniani naweza sema 99% tumezaliwa kwa mfumo mmoja tuu (1% nimeacha kwa wale wanao pandikiza mimba kutumia utaalamu wa kisasa). Lakini kwa 100% bila shaka yoyote nasema kuwa wote tumekuja hapa dunia kwa kutumia mwili wa mwanamke! Hivyo kama ni mtu mwenye akili timamu unaweza ona ni jinsi gani mwanake anaumuhimu sana katika dunia hii! Yani hata kama technology itakuwa advanced kiasi gani katika maswala ya uzazi lakini bado mwanamke atahitajika tuu!! Na ndio maana inchi zinazo...

 

9 years ago

Bongo Movies

RAY: Heshimuni Maamuzi Yangu

(FREEDOM OF SPEECH ) Nyinyi tukaneni mpaka mchoke maana tangia muanze kutukana matusi hata mkwaruzo sijapata msinilazimishe kupenda mnachokipenda nyinyi. Heshimuni maamuzi yangu kwani kila mtu ana haki ya kufanya maamuzi anayoyaona kwa upande wake ni sahihi, nasema hivi wananchi wana akili timamu hawawezi kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi hii kama wenyewe kwa wenyewe mnagombana mtaweza ongoza nchi hii mnavyoona watu wanajaa kwenye mikutano yenu mnafikiri mnapendwa hao wamekuja kuwashangaa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria yawalinda wanafunzi kingono US

Jimbo la Carlifonia nchini Marekani limewahamisha wanafunzi kwamba lazima waridhie wenyewe kabla ya kujihusisha na ngono.

 

11 years ago

Mwananchi

Wanafunzi wa sheria wawe na subira-Uongozi

Uongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, umesema matokeo ya mitihani ya marudio iliyofanyika Januari mwaka huu, yatatolewa mwishoni wa mwezi huu.

 

10 years ago

Habarileo

Shimbo: Watanzania wekezeni katika ardhi

Balozi wa Tanzania nchini hapa, Abdulrahman Shimbo WATANZANIA wameshauriwa kuwekeza katika ardhi nyumbani na kuifanya njia ya kuwasaidia vijana na wananchi wengine kujiepusha na biashara ya dawa za kulevya.

 

10 years ago

Habarileo

Shimbo: Mabalozi msikae mbali na vijana

BALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman ShimboBALOZI wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo amewataka mabalozi wenzake kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika, kutokukaa mbali na vijana kwa kuwa wanahitaji kuongozwa na kusaidiwa kutumia nguvu zao kwa ujenzi wa nchi na malengo yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani