BALOZI SHIMBO AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MHE. XI JINPING, RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA
Balozi wa Tanzania Nchini China,Lt. Jen. Mstaafu Abdulrahaman Amiri Shimbo akimkabidhi Mhe. Rais Xi Jinping hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu “The People’s Great Hall” ya Jamhuri ya Watu wa China, Beijing, tarehe 20 Machi 2014 . Balozi A.A Shimbo alikuwa wa kwanza kuwasilisha hati zake za utambulisho kati ya mabalozi 14 waliowasilisha hati zao siku hiyo. Mhe. Balozi Shimbo akiwa na Mhe. Rais Xi Jinping mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu “The...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBalozi Dora Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland
10 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA ESTONIA,PIA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA Tallinn KUJADILI FURSA ZA MASOMO KWA WANAFUNZI WA TANZANIA
10 years ago
MichuziBALOZI JOHN MICHAEL HAULE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMUHURI YA KENYA, LEO
10 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE
10 years ago
MichuziMhe. Balozi Marmo akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu
Mhe. Balozi Marmo...
10 years ago
MichuziBalozi marmo awasilisha hati za utambulisho wa rais wa austria
10 years ago
MichuziBALOZI HAMZA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA JORDAN .
9 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS ICELAND ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA UMOJA WA MATAIFA, TAWI LA ICELAND
10 years ago
MichuziBalozi Dora Msechu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Norway
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10