Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi marmo awasilisha hati za utambulisho wa rais wa austria

  Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo  akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Austria Mhe. Heinz Fischer katika Ikulu ya Vienna, Austria. Balozi Marmo anawakilisha pia Austria akiwa Ujerumani.Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo  akiongea na wenyeji wake baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho katika Ikulu ya Vienna, Austria.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi marmo akabidhi hati za utambulisho kwa Rais wa austria mjini Vienna

 Balozi wa Tanzania nchini Austria ambaye ana makazi mjini Berlin, Ujerumani Mhe. Philip S. Marmo mapema mwezi huu likabidhi Hati za Utambulisho (Letter of Credence) kwa Mhe. Dkt. Heinz Fischer, Rais wa Austria. Shughuli hizi zilifanyika katika ukumbi maarufu wa Maria Teresa uliopo katika kasri ya wafalme wa zamani wa "Austro-Hungarian Empire" mjini Vienna. Gwaride rasmi kwa ajili ya Balozi mpya iliendeshwa katika viwanja vya Hofburg.

 

10 years ago

Michuzi

MHE. PHILIP SANG'KA MARMO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO VATICAN

Taswira za kuwasilisha Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi S Marmo kwa Baba Mtakatifu Francis, mjini Vatican-Roma, Italia. Mhe. aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francis katika makao yake ya Vatican, Roma. Katika sherehe hizo kulikuwepo pia na Mabalozi wengine 12, watatu kutoka Afrika, nao ni Mali, Rwanda na Togo. Anakuwa Balozi wa Tanzania Holy See mwenye makazi yake Berlin, Ujerumani. Mhe. Balozi S Marmo kwa Baba Mtakatifu Francis, mjini Vatican-Roma, Italia.Mhe Marmo na...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dora Msechu awasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland

 "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu aliwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014" "Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic,  na Baltic Mheshimwa Dora Mmari Msechu katika picha ya pamoja na   Rais wa Finland, Mheshimiwa Sauli Niinistö  baada ya kuwasilisha hati zake za utambulisho jijini Helsinki Alhamisi 4 Desemba, 2014. Kulia ni Afisa wa Ubalozi ni Yusuph Mndolwa

 

10 years ago

Michuzi

Mhe. Balozi Marmo akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu

Mhe. Balozi Marmo akikabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2,  2014. Nchi nyingine anazowakilisha Tanzania ni pamoja na Austria, Bulgaria, Jamhuri ya Czech, Hungary, Poland,Slovakia, Ujerumani, Uswisi na Vatican. Mhe. Balozi Marmo  kabla ya kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Rais wa Romania, Mhe. Traian Basescu jijini Bucharest katika Ikulu ya Romania(State House) Septemba 2,  2014. 
Mhe. Balozi Marmo...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI JOHN MICHAEL HAULE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA JAMUHURI YA KENYA, LEO

Mheshimiwa Uhuru Kenyatta Rais wa Jamuhuri ya Kenya akimpongeza na kumkaribisha rasmi Mheshimiwa Balozi John Michael Haule mara baada ya kupokea Hati zake rasmi za utambulisho. Mheshimiwa John Michael Haule, Balozi wa Tanzania nchini Kenya akiteta jambo na Mheshimiwa Rais Uhuru Kenyatta wa Jamuhuri ya Kenya mara baada ya kuwasilisha Hati za utambulisho. Mheshimiwa Balozi John Michael Haule akiwa kwenye picha ya pamoja na Mabalozi wengine waliowasilisha Hati zao za utambulisho kwa...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI SHIMBO AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MHE. XI JINPING, RAIS WA JAMHURI YA WATU WA CHINA

Balozi wa Tanzania Nchini China,Lt. Jen. Mstaafu Abdulrahaman Amiri Shimbo akimkabidhi Mhe. Rais Xi Jinping hati zake za utambulisho katika hafla iliyofanyika Ikulu “The People’s Great Hall” ya Jamhuri ya Watu wa China, Beijing, tarehe 20 Machi 2014 . Balozi A.A Shimbo alikuwa wa kwanza kuwasilisha hati zake za utambulisho kati ya mabalozi 14 waliowasilisha hati zao siku hiyo. Mhe. Balozi Shimbo akiwa na Mhe. Rais Xi Jinping mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu “The...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson. Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.  Balozi mpya wa...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI, AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yakeMhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Ufaransa awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage Mhe. Beraki akiweka saini katika kitabu cha wageni Balozi Malika Berak akizungumza na Balozi Maharage mara baada ya kuwasilsha nakala za Hati za Utambulisho Kushoto ni mkurugenzi msaidizi Idara ya Itifaki Bw. James Bwana, kulia ni Afisa Mambo ya Nje Bi. Mona Mahecha wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Malika Berak na Balozi Maharage 
Picha na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani