Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwakilisha hati ya utambulisho kwa Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson siku ya Jumatano Februari 18, 2015 Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka akiwa katika picha ya pamoja na Gavana Mkuu wa Canada Mhe. David Johnson. Balozi mpya wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Mugendi Zoka na mke wake Bi. Esther Zoka wakiwa katika picha ya pamoja na Gavana mkuu wa Canada Mhe. David Johnson.  Balozi mpya wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI, AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Tarehe 22 Oktoba, 2015 Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege alipata fursa ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Prof. Arthur Peter Mutharika katika Ikulu ya Kamuzu Palace mjini Lilongwe.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akipigiwa nyimbo za taifa za Malawi na Tanzania huku akishuhudiwa na maafisa Ubalozi.Mhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yakeMhe. Balozi Victoria Richard Mwakasege akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI UAE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk, tarehe 02/03/2014 aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum, Makamu wa Rais UAE, Waziri Mkuu na Mtawala wa Dubai, jijini Abu Dhabi, UAE. Sherehe hizo zilizofanyika kwenye Kasri ya Al Mushrif, zilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Kitaifa wa UAE. Balozi wa Tanzania nchini UAE, Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk na Mkuu wa Itifaki...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho nchini Laos

 Dkt. Aziz Ponary Mlima Balozi wa Tanzania nchini Malaysia akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Laos Mheshimiwa Choummaly Sayasone. Hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni mjini Vientiane nchini Laos.Dkt Aziz Mlima akifanya mazungumzo na Makamu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Laos ambaye aliwahi kuwa Balozi wa Laos kwenye Umoja wa Mataifa kwa muda mrefu Mheshimiwa Alounkeo Kittikhoun.Ubalozi wa Tanzania nchini Malaysia unawakilisha nchi nyingine 6 katika...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi marmo awasilisha hati za utambulisho wa rais wa austria

  Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo  akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Austria Mhe. Heinz Fischer katika Ikulu ya Vienna, Austria. Balozi Marmo anawakilisha pia Austria akiwa Ujerumani.Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Balozi Philip Sang'ka Marmo  akiongea na wenyeji wake baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho katika Ikulu ya Vienna, Austria.

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA MISRI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (kulia) akimkaribisha Balozi mpya wa Misri, Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf katika ofisi yake. Balozi Mpya wa Misri alikuja ofisini kwa Mhe. Waziri kwa ajili ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mpya wa Misri, Mhe. Yasser Ahmed Al Eldin Elshawaf.
KWA PICHA...

 

9 years ago

Vijimambo

Balozi mteule wa Switzerland awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb), akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, leo Tarehe 25-08-2015 ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Mheshimiwa Waziri Bernard Membe akizungumza na Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.Balozi Mteule wa Switzerland hapa nchini Mhe. Florence Tinguely Mattli...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi mpya wa Ufaransa awasilisha nakala za Hati za Utambulisho

Balozi mpya wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mkuu wa Itifaki Balozi Juma Maharage Mhe. Beraki akiweka saini katika kitabu cha wageni Balozi Malika Berak akizungumza na Balozi Maharage mara baada ya kuwasilsha nakala za Hati za Utambulisho Kushoto ni mkurugenzi msaidizi Idara ya Itifaki Bw. James Bwana, kulia ni Afisa Mambo ya Nje Bi. Mona Mahecha wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Balozi Malika Berak na Balozi Maharage 
Picha na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI HAMZA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA JORDAN .

Balozi wa Tanzania nchini Jordani mwenye makazi yake mji wa Cairo nchini Misri Mhe. Mohammed Hamza Mohammed akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme Abdallah II wa Jordan.Balozi Hamza akimsikiliza Mfalme Abdallah II mara baada ya kumaliza kuwasilisha Hati za Utambulisho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani