BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI UAE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
.png)
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk, tarehe 02/03/2014 aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum, Makamu wa Rais UAE, Waziri Mkuu na Mtawala wa Dubai, jijini Abu Dhabi, UAE. Sherehe hizo zilizofanyika kwenye Kasri ya Al Mushrif, zilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Kitaifa wa UAE.
Balozi wa Tanzania nchini UAE, Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk na Mkuu wa Itifaki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo25 Oct
BALOZI WA TANZANIA NCHINI MALAWI, AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
10 years ago
Michuzi
BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO




10 years ago
MichuziBALOZI MPYA WA MISRI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO
KWA PICHA...
11 years ago
Vijimambo03 Oct
Balozi mpya wa Ufaransa awasilisha nakala za Hati za Utambulisho
Picha na...
11 years ago
Michuzi.jpg)
JK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
Balozi Dkt. Aziz Ponary Mlima awasilisha Hati za Utambulisho nchini Laos


11 years ago
GPL
RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI MPYA WA COMORO NCHINI TANZANIA
11 years ago
GPL
RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA BALOZI WA RWANDA NA NORWAY, AMWAPISHA BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI RWANDA