MHE. PHILIP SANG'KA MARMO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO VATICAN
![](http://4.bp.blogspot.com/-_0SqWLyxaFQ/VJsz0RX-7dI/AAAAAAAG5rg/TMnD0XBPY9s/s72-c/unnamed%2B(59).jpg)
Taswira za kuwasilisha Hati za Utambulisho za Mhe. Balozi S Marmo kwa Baba Mtakatifu Francis, mjini Vatican-Roma, Italia. Mhe. aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Baba Mtakatifu Francis katika makao yake ya Vatican, Roma. Katika sherehe hizo kulikuwepo pia na Mabalozi wengine 12, watatu kutoka Afrika, nao ni Mali, Rwanda na Togo. Anakuwa Balozi wa Tanzania Holy See mwenye makazi yake Berlin, Ujerumani. Mhe. Balozi S Marmo kwa Baba Mtakatifu Francis, mjini Vatican-Roma, Italia.
Mhe Marmo na...
Michuzi