Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHINA YALAANI KITENDO CHA MAREKANI KUKATAA KUTOA VIBALI VYA KUINGIA NCHI HIYO WANAFUNZI WA CHINA

China yalaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia nchi hiyo wanafunzi wa ChinaMsemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amelaani kitendo cha Marekani kukataa kutoa vibali vya kuingia wanafunzi wa China katika nchi hiyo.Zhao Lijian amesema kuwa vitisho vya serikali ya Marekani dhidi ya wanafunzi wa China sambamba na kukataa kuwapatia viza, ni kinyume na uwazi na uhuru ambao Washington imekuwa ikidai kuutekeleza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameitahadharisha Marekani isijaribu kukiuka kwa namna yoyote haki za wanafunzi wa China, kwa kuwa kitendo hicho...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mhe. Membe akutana na Makamu wa Rais wa China mjini Beijing,Pia afanya mazungumzo na baadhi ya Mawaziri wa nchi hiyo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao alipokutana nae kwa mazungumzo kwenye Jumba la Mikutano la Kitaifa la China maarufu kama People's Great Hall mjini Beijing, China. Mhe. Membe yupo nchini humo kwa ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia tarehe 24 hadi 28 Februari, 2014. Mhe. Membe na Mhe. Yuanchao wakiendelea na mazungumzo. Mhe. Membe akiagana na Mhe. Yuanchao mara...

 

9 years ago

Bongo Movies

‘Ninja’ Kisa cha Mapenzi Toka China Hadi Bongo, Kuingia Sokoni

ninja654

Ninja Revenge of Love ni kisa kinachomkuta Mr potlee ambaye mara baada ya kutoka China anaonekana na mwanamke wa kichina wakati Tanzania ana mwanamke ambaye ni askari wa jeshi la polisi Tanzania ,je nini kitatokea?
Filamu ya Ninja Revenge of Love chini ya usambazaji wa Steps Entertainment itaingia sokoni kesho kutwa tarehe 04.01.2016.
Jipatie nakala yako.

ninja22

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: China yakerwa Trump kuita corona 'virusi vya China'

Rais wa Marekani Donald Trump ametumia neno hilo ingawa kumekuwa na wito wa kuepuka kunyanyapaa eneo au kundi fulani wakati huu wa maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Uhuru Kenyatta anasema hatua ya wanajeshi wa Somalia kuingia Kenya ni kitendo cha uchokozi

Uhuru amesema kwamba taifa la Somalia linapaswa kuangazia maswala ya raia wake kwa kukabiliana na kuushinda ugaidi ili kuweka amani,

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: China yaionya Marekani dhidi ya kusababisha vita baridi

Waziri wa masuala ya kigeni nchini China ameishutumu Marekani kwa kueneza dhana potofu na uongo kuhusu virusi vya corona hatua inayozua hofu kati ya mataifa hayo mawili.

 

11 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WANAOCHUKUA MASOMO YA SHAHADA YA UZAMILI NA UZAMIVU KATIKA RELI KUTOKA CHUO KIKUU CHA SOUTHWEST JIATONG CHA NCHINI CHINA WATEMBELEA WIZARA YA UCHUKUZI LEO

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi. Monica Mwamunyange akibadilishana kadi na Profesa Liu Xueyi kutoka Chuo kikuu cha Southwest Jiatong, wakati mkufunzi huyo na wanafunzi wa chuo hicho walipotembelea wizara ya Uchukuzi leo mchana kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya reli hasa reli ya mwendo kasi.

 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Bi Monica Mwamunyange, akifafanua jambo kwa Wakufunzi na wanafunzi wanaochukua shahada za Uzamili na Uzamivu katika Reli kutoka Chuo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mapambano ya nyuma ya pazia kati ya Marekani na China baada ya mlipuko wa virusi vya corona

Virusi vya corona vinaweza kuthibitisha kati ya mataifa hayo yenye nguvu duniani nani anapaswa kuwa juu ya mwingine

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Taasisi za utafiti Marekani zatahadharishwa juu ya wizi wa data unaodaiwa kuhusisha China

Wadukuzi wanaohusishwa na China wanalenga mashirika yanayofanya utafiti wa janga la Covid-19, Maafisa wa Marekani wanasema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani