Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauza Sura Wamtesa Batuli

Staa wa Bongo Movies, Yobnesh Yussuf ‘Batuli’ amekiri kuteswa na suru nzuri za wanaume ambao huwa wanamfuata kwa ajili ya uhusiano wa kimapenzi huku wengine wakimuahidi kumuoa na kuwakubalia ombi lao na kuelekeza mapenzi yake yote kwao.

Azungumza na tanuru la fulamu hivi karibuni  batuli alisema kuwa yeye huwa anapenda mwanaume mpole na mwenye kujiheshimu ili watengeneze maisha yao na penzi linapo kolea na kujiachia kimahaba sura hizo hubadilika na kuwa mwiba kwake hali ambayo humfanya ...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

UWOYA: Aonya Wauza Sura Bongo Movie

Baada ya  kuwa  mrembo asiye  kifani  aliyefanikiwa  Zaidi kwenye  fani , Irene  Uwoya  ameonya  wasanii wa kike  wa  Filamu wanaochipukia  kutonaswa  na mtego wa kutumia uzuri wa Sura na Maumbo yao kujimaliza  kisanii.
Akizungumza na  gazeti la Nipashe Uwoya   alisema  wasanii  wengi  wa  sasa  wanashindwa kufanya  kazi  kwa  sababu  wanaona  kazi  hiyo  ni  sehemu  ya  kupatia  wapenzi  wa  kiume.


Alisema  wacheza  Filamu wa  kike  huwa  wanapenda  kujirahisisha  kwa  Wanaume  na ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray:Mimi na Kanumba Tulikuwa Tunaitwa Wauza Sura!!

Muigizaji na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.

“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini kuhusu sinema...

 

10 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujangili wamtesa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajia kuongoza mkutano wa kujadili jinsi ya kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani, serikali yake imetajwa kuongoza kwa mauaji ya tembo. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Alhamisi...

 

9 years ago

Mtanzania

Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli

122*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...

 

10 years ago

GPL

UGUMBA WAMTESA WEMA

Na Imelda Mtema POLE sana! Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.
Akizungumza na Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani. Staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema...

 

11 years ago

GPL

MZIMU WA RECHO WAMTESA SAGUDA

Stori: Erick Evarist WAKATI Arobaini ikitarajia kufanyika jana, mchumba wa marehemu Sheila Haule ‘Recho’, George Saguda ameeleza kuwa bado aliyekuwa mchumba wake huyo anamtesa kwa kumtokea mara kwa mara. Marehemu Sheila Haule ‘Recho’, akiwa na mpenzi wake George Saguda enzi za uhai wake. Akizungumza na mwanahabari wetu, Saguda alisema marehemu amekuwa akimtokea akiwa usingizini na kumsisitiza kuhusu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mzimu wa Simba wamtesa Ngasa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrisho Ngasa ameanza mgomo baridi ndani ya klabu hiyo, akishinikiza uongozi kumlipa deni lake la awamu ya pili ya usajili wakati alipotua klabuni hapo akitokea Simba. Usajili...

 

10 years ago

Mwananchi

Mosoti, Butoyi wamtesa Phiri

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amepatwa na kigugumizi cha uamuzi wa nani abaki kati ya Mkenya Donald Mosoti na Mrundi Butoyi Hussein kujaza nafasi ya beki wa kati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani