Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGUMBA WAMTESA WEMA

Na Imelda Mtema POLE sana! Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.
Akizungumza na Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani. Staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Ugumba Wamtesa Wema, Adondosha Chozi Mara kwa Mara!

Tatizo la kutoshika mimba (infertility) au kushindwa kupata mimba (conceive) limekuwa likimtesa staa wa Bongo Movies, Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu na limehusishwa na ugumba.

Akizungumza na gazeti la Amani juu ya ishu hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam, Wema alisema suala la kutopata mtoto limekuwa likimkosesha amani katika maisha yake ya ukubwani.

Alisema kwamba, amekuwa akishinda akilia kila anapokutana na shosti wake wa sasa, Aunt Ezekiel ambaye ni mjamzito.Wema alitiririka...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanaume na tatizo la Ugumba

 Ni ugonjwa unaokua kwa kasi katika jamii, hasa kwa wanaume. Hujulikana pia kitaalamu kama ‘infertility au sterility’.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ugumba kwa mwanamke

KARIBU katika safu ya makala ya afya, ili tuweze kufahamu mengi kuhusiana na afya zetu na hatimaye tujue jinsi ya kujikinga, ili tusipate magojwa mapya na matibabu kwa ujumla. Wanawake...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujangili wamtesa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajia kuongoza mkutano wa kujadili jinsi ya kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani, serikali yake imetajwa kuongoza kwa mauaji ya tembo. Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Alhamisi...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake wanavyojiua, kujipa ugumba

Ripoti za hospitali nchini na Shirika la Afya Duniani (WHO), zinaonyesha kuwa baadhi ya wanawake hutoa mimba kwa njia zisizo salama, ambazo huharibu kizazi, kuwasababishia ugumba na wengine vifo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke anayekabiliana na ugonjwa wa ugumba

Millen Magese ni shujaa aliyesahaulika kwa sababu amekuwa akihamasisha na kuhimiza wanawake wengine walioathirika na ugonjwa hatari unaosababisha ugumba kutokufa moyo na kupambana nao.

 

10 years ago

GPL

RAY C NAYE ATESWA NA UGUMBA

Musa mateja
WAKATI staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu akiweka wazi kuwa hawezi kupata ujauzito huku Judith Wambura ‘Jide’ naye akisumbuliwa na tatizo hilo, nyota wa muziki Rehema Chalamila, Ray C amefunguka na kusema kuwa hali ya kukosa mtoto ambayo ni sawa na ugumba, inamtesa, kwani katika umri wake wa miaka 33, hajabahatika kuwa naye,Risasi Jumamosi linakujuza. Nyota wa muziki Rehema Chalamila, Ray C. Akizungumza...

 

10 years ago

Mwananchi

Kupunguza hatari za kupata ugumba

Juma lililopita tuliweza kuona mambo mbalimbali ambayo yakifanyika unaweza kupunguza hatari ya kupata ugumba, mambo hayo ikiwamo ulevi uliopindukia, matumizi ya tumbaku, ufanyaji kazi mazingira ya joto na kuepukana na ngono zembe ili usipate magonjwa ya zinaa.

 

9 years ago

Mtanzania

Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli

122*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani