Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli
*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.
Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.
Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)
9 years ago
MillardAyo03 Jan
Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini
HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo ni ya […]
The post Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini appeared first on...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-_vLuCwXZnXQ/VdykXchDPxI/AAAAAAAC-Dw/NRmG7HmOFEo/s72-c/_MG_6285.jpg)
Magufuli akataa Mawaziri.
![](http://2.bp.blogspot.com/-_vLuCwXZnXQ/VdykXchDPxI/AAAAAAAC-Dw/NRmG7HmOFEo/s640/_MG_6285.jpg)
Dk. Magufuli alitoa ahadi hiyo jana, wakati akijinadi kwa wananchi wilayani Nkasi na Kalambo, mkoani Rukwa akiwa katika siku ya pili ili achaguliwe kuwa rais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba...
9 years ago
Mtanzania11 Dec
Kauli za mawaziri wateule wa Dk. Magufuli
Kauli za mawaziri wateule
NA WAANDISHI WETU, DAR/MIKOANI
SAA chache baada ya kutangazwa kwa Baraza jipya la Mawaziri na Rais Dk. John Magufuli, MTANZANIA iliwatafuta baadhi ya mawaziri na kuzungumza nao kuhusu uteuzi wao.
BALOZI MAHIGA
Kwa upande wake, Waziri mteule wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk. Augustine Mahiga, alisema: “Siwezi kuongea jambo lolote kwa sababu hata rais wangu hatujazungumza…nawaomba muwe na...
9 years ago
StarTV29 Dec
Dk. Magufuli awaapisha mawaziri 5, naibu 1
Rais John Magufuli amewaapisha mawaziri watano na naibu waziri mmoja waliosalia kwenye baraza la kwanza la mawaziri la Serikali ya awamu ya tano na kufanya sasa baraza hilo kukamilika kwa kuwa na mawaziri 19 na manaibu waziri 15.
Mawaziri hawa wanaungana na wenzao kuongoza baraza hilo lenye wizara 18 ambao waliapishwa Desemba 12 mwaka huu.
Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Dk. John Magufuli anawaapisha mawaziri hawa, ambao wengi kati yao wameahidi kutekeleza vipaumbele kwenye wizara zao kwa...
9 years ago
BBCSwahili10 Dec
Magufuli atangaza baraza la mawaziri
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri
9 years ago
Mwananchi14 Dec
Mawaziri watatu wa Magufuli wazua utata
9 years ago
Mtanzania16 Oct
Magufuli kuwasainisha mikataba mawaziri wake
NA BAKARI KIMWANGA, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema kama atafanikiwa kuingia madarakani, atawasainisha mikataba maalumu ya kazi mawaziri wake kabla ya uteuzi.
Amesema lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha anakuwa na mawaziri wanaokwenda kwa wananchi badala ya kukaa ofisini wakiandika madokezo.
Dk. Magufuli alitoa kauli hiyo jana kwa nyakati tofauti katika mikutano yake ya kampeni wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani na Ukonga, Dar es...