Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kauli za mawaziri wateule wa Dk. Magufuli

Ummy MwalimuKauli za mawaziri wateule

 

NA WAANDISHI WETU, DAR/MIKOANI

SAA chache baada ya kutangazwa kwa Baraza jipya la Mawaziri na Rais Dk. John Magufuli, MTANZANIA iliwatafuta baadhi ya mawaziri na kuzungumza nao kuhusu uteuzi wao.

 

BALOZI MAHIGA

Kwa upande wake, Waziri mteule wa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Balozi Dk. Augustine Mahiga, alisema: “Siwezi kuongea jambo lolote kwa sababu hata rais wangu hatujazungumza…nawaomba muwe na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AONESHA KUSIKITISHWA NA WATEULE WAKE WANAOSHINDWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

*Asema anawateua na kula viapo lakini hafanyi yale ambayo anataka wafanye
*Azungumzia vijana kutoridhika kwenye nafasi walizonazo...atoa siri ya Gambo
 Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amesema huwa anasikitishwa kuona watu ambao wamewapa nafasi na kuwaamini wanashindwa kutekeleza yale ambayo amewatuma kwenda kufanya na badala yake wanakwenda kufanya ya kwao huku akitumia nafasi hiyo kuzungumzia vijana ambao amewapa nafasi lakini hawaridhiki nazo.
Akizungumza leo Juni 22, 2020...

 

9 years ago

MillardAyo

Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini

HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo ni ya […]

The post Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini appeared first on...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli kuondoa kauli za ‘njoo kesho’ serikalini

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli ameendelea kueleza msimamo wake wa kutaka Tanzania yenye viwanda kwa kusisitiza kuwa hatakubali kuwepo kwa urasimu kwa watu wanaotaka kuwekeza nchini.

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI NA KAMPENI ZA KUJIKOSOA, NAMFANANISHA NA MWALIMU NYERERE NA KAULI YA TUJISAHIHISHE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Na Humphrey Pole Pole
Kumekuwa na maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia CCM, Dr. John Pombe Magufuli, kuibua na kuzungumzia mapungufu ya serikali ambayo yeye ni waziri. Baadhi ya watu wanaofuatilia kampeni zake wameenda mbali zaidi na kuhisi kuwa kwa kufanya hivyo, Magufuli anawafanyia kampeni labda bila yeye kujua wapinzani wake katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kauli ya Rais wa Tanzania, John Magufuli inawaondolea hofu watanzania?

Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamezungumza na BBC kuhusu namna hali ilivyo hivi sasa baada ya kuingia kwa mlipuko wa virusi vya corona

 

9 years ago

Mtanzania

Mawaziri wamtesa Dk. Magufuli

122*Sura mpya zatajwa kuingia Baraza jipya

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

ZIKIWA zimetimia siku sita tangu Rais Dk. John Magufuli aapishwe kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wingu zito limetanda kuhusu uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

Wakati kitendawili cha kwanza kinatarajiwa kuteguliwa Novemba 19 mjini Dodoma, pale Bunge la 11 litakaporidhia uteuzi wa waziri mkuu anayesubiriwa kwa hamu, mtihani mwingine unabaki kwa mawaziri.

Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili baada ya...

 

9 years ago

Vijimambo

Magufuli akataa Mawaziri.

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema serikali yake ya awamu ya tano haitakuwa na blablabla katika utendaji wa kazi na kuonya kuwa waziri atakayeshindwa kutelekeza majukumu yake, ataondolewa ili kupisha wenye uwezo.

Dk. Magufuli alitoa ahadi hiyo jana, wakati akijinadi kwa wananchi wilayani Nkasi na Kalambo, mkoani Rukwa akiwa katika siku ya pili ili achaguliwe kuwa rais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli akamilisha Baraza la Mawaziri

Rais John Magufuli amemalizia kujaza nafasi za uteuzi wa mawaziri na naibu waziri alizobakiza wakati akitangaza Baraza la Mawaziri la kwanza la Serikali ya Awamu ya Tano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani