Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini
HABARILEO Makatibu wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya semina elekezi iliyoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue. Akizungumza kabla ya kuanza kwa mada zilizoandaliwa katika semina hiyo jana, Katibu Mkuu Kiongozi Sefue, alisema semina hiyo ni ya […]
The post Nyumba ya Mch.LWAKATARE, Mawaziri wa Magufuli Vinginguti, KINGUNGE na kasi ya MAGUFULI..#Magazetini appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/JUPJxGO-oyQ/default.jpg)
9 years ago
Habarileo28 Nov
Wazazi wapongeza kasi ya Magufuli
RAIS John Magufuli amepongezwa kwa kasi ya utendaji kazi wake sambamba na maelekezo kadhaa ambayo amekwisha yatoa katika muda mfupi aliokuwa madarakani. Pongezi hizo zilitolewa jana na Jumuiya ya Wazazi CCM ambao amepongeza hatua ambazo zimeanza kuchukuliwa na Rais Magufuli katika kipindi cha wiki tatu toka kuapishwa kwake ambapo jumuiya hiyo imesema ni imani yao kuwa nchi imepata kiongozi shupavu mwenye kusimamia kauli zake.
9 years ago
Habarileo11 Nov
Kasi ya Magufuli yavutia wengi
RAIS John Magufuli amepongezwa kwa kasi ya utendaji kazi anayoionesha, inayoelezwa kuwa inadhihirisha dhamira ya dhati na ya kizalendo aliyonayo ya kuwatumikia Watanzania.
9 years ago
Habarileo23 Nov
Kasi ya Magufuli yaanza kuitikiwa
KASI ya Rais John Magufuli imeendelea kutikisa idara na taasisi mbalimbali za serikali kutokana na mchakamchaka miongoni mwa watendaji na wasimamizi wanaoendelea kuasa watumishi walio chini yao, kutii falsafa ya ‘Hapa Kazi Tu’ vinginevyo watajiondoa kwenye mfumo.
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Kasi ya Dk Magufuli yamsomba bosi TRA
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Wenyeviti CCM waridhishwa kasi ya Magufuli
9 years ago
Mtanzania07 Dec
Wenyeviti CCM wapongeza kasi ya Magufuli
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamempongeza kwa dhati Rais Dk. John Magufuli kwa kasi ya utendaji wake.
Kwa mujibu wa wenyeviti hao, kasi ya Rais Magufuli hasa ya kuwachukulia hatua watendaji wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ni kazi inayokwenda sambamba na utekelezaji wa ilani ya chama hicho.
Pongezi hizo zimetolewa Mwenyekiti wa Wanyeviti wa Mikoa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ramadhani Madabida alipozungumza na waandishi wa habari,...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Japan yavutiwa na kasi ya Rais Magufuli
SERIKALI ya Japan imeridhishwa na kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli na kuainisha miradi mipya, itakayofadhiliwa na ya zamani itakayoendelea kufadhiliwa na Serikali hiyo, inayoenda sambamba na kasi ya utekelezaji ya Rais huyo.
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Kasi ya Dk Magufuli yatanda kila kona