Japan yavutiwa na kasi ya Rais Magufuli
SERIKALI ya Japan imeridhishwa na kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli na kuainisha miradi mipya, itakayofadhiliwa na ya zamani itakayoendelea kufadhiliwa na Serikali hiyo, inayoenda sambamba na kasi ya utekelezaji ya Rais huyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Dec
TUCTA yavutiwa na Rais Magufuli
SHIRIKISHO la Vyama Huru vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeunga mkono kazi inayofanywa na Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wake, Kassim Majaliwa kwa kuwa kinachofanywa na viongozi hao, ndicho ambacho wafanyakazi wamekuwa miaka yote wakitaka Serikali zilizotangulia, zifanye ili maslahi yao yawe mazuri.
10 years ago
MichuziUbalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..
Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku akisisitiza kubana matumizi ya Serikali. Kwenye kubana matumizi kwa sasa Rais Magufuli aliagiza pia kuzuia safari za viongozi nje ya nchi… Rais wa Ghana pia […]
The post Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje.. appeared first on...
9 years ago
Habarileo26 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yawavutia maaskofu
VIONGOZI wa makanisa mbalimbali nchini, wametoa salamu za Sikukuu ya Krismasi jana, wakielezea kufurahishwa na kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli. Wamesisitiza waumini wao, kumuombea Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka, kwa kuwa yamewekwa na Mungu. Viongozi hao pia, wamewataka watendaji wa Serikali na wananchi walioshiriki ukwepaji kodi, watubu dhambi zao na kurejesha vyote walivyochukua, ambavyo si halali yao.
9 years ago
Habarileo30 Nov
AFP wasifu kasi ya Rais Magufuli
CHAMA cha siasa cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP) kimetoa pongezi kwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kasi ya utendaji kazi ambayo wameionesha na kuleta matumaini kwa wananchi.
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa...
9 years ago
Habarileo15 Dec
Vijana wahimizwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, amewataka vijana kuunga mkono hatua za Rais John Magufuli kuhimiza kasi ya uwajibikaji katika kazi kuleta maendeleo. Alitoa mwito huo jana mjini hapa alipozungumza na waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Ruhuwiko.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA
9 years ago
Mwananchi01 Dec
January: WanaCCM msilalamikie kasi ya Rais Magufuli