Vijana wahimizwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli
MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, amewataka vijana kuunga mkono hatua za Rais John Magufuli kuhimiza kasi ya uwajibikaji katika kazi kuleta maendeleo. Alitoa mwito huo jana mjini hapa alipozungumza na waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Ruhuwiko.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Dec
Wahimizwa kufanya kazi kwa kasi ya Dk Magufuli
WAHITIMU wa kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira tawi la Mbeya, wametakiwa kuendana na kasi ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa wabunifu na wenye kutekeleza majukumu yao kwa tija zaidi.
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje..
Kama ni mfatiliaji wa masuala ya kila kinachoendelea kwenye headlines kubwa kutoka Tanzania zilizofanikiwa kuteka zaidi siku chache zilizopita, ni ishu ya kasi ya Rais Magufuli kwenye utendaji wake huku akisisitiza kubana matumizi ya Serikali. Kwenye kubana matumizi kwa sasa Rais Magufuli aliagiza pia kuzuia safari za viongozi nje ya nchi… Rais wa Ghana pia […]
The post Ndio kusema Rais wa Ghana kaiga kasi ya Rais Magufuli ??!! cheki alivyoanza kubana safari za nje.. appeared first on...
9 years ago
Habarileo30 Nov
AFP wasifu kasi ya Rais Magufuli
CHAMA cha siasa cha Alliance for Tanzania Farmers (AFP) kimetoa pongezi kwa Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kasi ya utendaji kazi ambayo wameionesha na kuleta matumaini kwa wananchi.
9 years ago
Habarileo02 Dec
Japan yavutiwa na kasi ya Rais Magufuli
SERIKALI ya Japan imeridhishwa na kasi ya utendaji wa Rais John Magufuli na kuainisha miradi mipya, itakayofadhiliwa na ya zamani itakayoendelea kufadhiliwa na Serikali hiyo, inayoenda sambamba na kasi ya utekelezaji ya Rais huyo.
9 years ago
Habarileo26 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yawavutia maaskofu
VIONGOZI wa makanisa mbalimbali nchini, wametoa salamu za Sikukuu ya Krismasi jana, wakielezea kufurahishwa na kasi ya utendaji kazi wa Rais John Magufuli. Wamesisitiza waumini wao, kumuombea Rais na kuwataka wananchi kutii mamlaka, kwa kuwa yamewekwa na Mungu. Viongozi hao pia, wamewataka watendaji wa Serikali na wananchi walioshiriki ukwepaji kodi, watubu dhambi zao na kurejesha vyote walivyochukua, ambavyo si halali yao.
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Diwani wa CHADEMA aliyeikubali kasi ya Rais Magufuli
Kasi ya Rais Magufuli na kila serikali yake inachokifanya kwa sasa kinaonekana na wengi, na kila mmoja anatoa yake ya moyoni kulinganisha na yale aliyoyaona…. mtazame Diwani wa Ubungo kwa ticket ya CHADEMA Boniface Jacob kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO […]
The post Diwani wa CHADEMA aliyeikubali kasi ya Rais Magufuli appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Mwananchi22 Dec
Kasi ya Rais Magufuli yafuta likizo TRA
9 years ago
Mwananchi01 Dec
January: WanaCCM msilalamikie kasi ya Rais Magufuli
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.
Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.
Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...