Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahimizwa kufanya kazi kwa kasi ya Dk Magufuli

WAHITIMU wa kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira tawi la Mbeya, wametakiwa kuendana na kasi ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa wabunifu na wenye kutekeleza majukumu yao kwa tija zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wanahabari wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

 Waandishi wa habari wametahadharishwa juu ya ukiukaji mkubwa wa maadili unaofanywa hasa kipindi hiki cha kuelekea  uchaguzi  mkuu oktoba mwaka huu kwani  hali hiyo ikiendelea inaweza kusababisha kuwepo kwa machafuko nchini.

Aidha imeelezwa kuwa ukiukwaji mkubwa ni ule wa waandishi kuamua kuwa wasemaji wakuu wa wagombea kuandika  habari za kichochezi  bila kuchuja  na kubeba baadhi  ya  wagombea hata ambao hawana sifa kwa maslahi  yao  binafsi   hali inayofanya jamii kutokuwa na imani na...

 

5 years ago

Michuzi

MITAMBO MIPYA NIDA KUANZA KUFANYA KAZI HIVI KARIBUNI, KASI YA RAIS MAGUFULI IMESAMBARATISHA UPINZANI NCHINI-WAZIRI SIMBACHAWENE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene, akiangalia nyama katika Bucha la Kijiji cha Malolo, jimbo la Kibakwe, Wilaya ya Mpwawa, Mkoani Dodoma, leo. Waziri huyo amesema utendaji kazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli umesambaratisha upinzani nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Kata ya...

 

9 years ago

Habarileo

Vijana wahimizwa kwenda na kasi ya Rais Magufuli

MBUNGE wa Songea Mjini, Leonidas Gama, amewataka vijana kuunga mkono hatua za Rais John Magufuli kuhimiza kasi ya uwajibikaji katika kazi kuleta maendeleo. Alitoa mwito huo jana mjini hapa alipozungumza na waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Kata ya Ruhuwiko.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwa nini Magufuli hajaanza kufanya kazi?

MTU unaponunua eneo kwa ajili ya shamba au ujenzi vitu vya kwanza kabisa ambavyo unaangalia ni ki

Lula wa Ndali Mwananzela

 

9 years ago

Dewji Blog

MODEWJIBLOG: Watanzania tuache kufanya kazi kwa Mazoea, Rais Dk.Magufuli tembelea na huku!

mg1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipotembelea kwa mara ya kwanza Wizara ya Fedha, safari ambayo ilikuwa ni ya ghafla.

Na. Andrew Chale, Modewjiblog

[TANZANIA] Kwa sasa kila zungumzo la Mtanzania ni juu ya safari za kushtukiza za Rais wa awamu ya tano, Mh. Rais Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameacha gumzo kwa kuanza kwa kishindo na dhana yake ya ‘Hapa Kazi Tu’!.. Kwa kutuonjesha tu,  ametembelea Wizara ya Fedha safari ya kushtukiza na kuamsha hali ya utendaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMTAKA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya J.V anayejenga barabara ya Makutano-Nyamuswa - Ikoma Gate, sehemu ya (Makutano-Natta km50) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana wakati akihutubia mamia ya wakazi wa mji Butiama mkoani Mara.
“Najua bado mnaidai serikali zaidi ya shilingi bilioni tatu lakini hii isiwe sababu ya kushindwa kuendelea na kazi japo mlishaonyesha mfano mzuri wa...

 

5 years ago

CCM Blog

WAITARA: KUFANYA KAZI NA RAIS MAGUFULI INABIDI UJIPANGE NI MCHAKAMCHAKA KWELIKWELI

"Kufanya kazi na Mhe. Rais
@MagufuliJP inabidi ujipange ni mchakamchaka kwelikweli, yaani anazungumza kama hataki lakini ndiyo anamaanisha hivyo. Ukilipwa mshahara ujue umefanya kazi kweli" - Mwita Waitara, Naibu Waziri TAMISEMI

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU : Dawa ya Zanzibar ni Rais Magufuli kukubali kufanya kazi na Maalim Seif

Kwa kawaida katika maisha ya kila siku kiburi na jeuri havimsaidii mwanadamu. Nimesoma kwenye magazeti habari inayogusa maisha ya Watanzania wengi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani