Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI AMTAKA MKANDARASI KUFANYA KAZI USIKU NA MCHANA

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya J.V anayejenga barabara ya Makutano-Nyamuswa - Ikoma Gate, sehemu ya (Makutano-Natta km50) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Waziri Magufuli alitoa tamko hilo jana wakati akihutubia mamia ya wakazi wa mji Butiama mkoani Mara.
“Najua bado mnaidai serikali zaidi ya shilingi bilioni tatu lakini hii isiwe sababu ya kushindwa kuendelea na kazi japo mlishaonyesha mfano mzuri wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Magufuli: Mawaziri wangu watafanya kazi usiku na mchana

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Bakari Kimwanga, Tunduma

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, amesema akifanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, atakuwa na baraza dogo la mawaziri litakalofanya kazi usiku na mchana.

Akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kampeni mkoani Rukwa juzi, Dk. Mgufuli alisema mawaziri wake watahudumia wananchi kwa wakati na si kukaa ofisini na kusubiri kuletewa taarifa.

“Nitateua mawaziri wachache na wenye uadilifu, kama kuna waziri...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MGALU AMTAKA MKANDARASI KUMALIZA KAZI KWA WAKATI

Na Ripota wetu – Morogoro Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amefanya ziara mkoani Morogoro na kumwagiza Mkandarasi, Kampuni ya State Grid, anayetekeleza Mradi wa Umeme Vijijini, mkoani humo kumaliza kazi kwa wakati. Mgalu alilazimika kufanya ziara hiyo baada ya kupokea malalamiko ya kusuasua kwa Mradi husika ambapo aliwaagiza watendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kumsimamia Mkandarasi huyo ili kuhakikisha anakamilisha kazi kwa muda...

 

10 years ago

Mwananchi

Usingizi wa Kutosha ni nguvu ya kufanya kazi vizuri mchana

Kila inapofika usiku, watu wengi huuchukulia ni wakati wa kupumzika. Siyo kupumzika tu kwa kukaa bali kulala usingizi hadi alfajiri ama asubuhi.

 

11 years ago

Mwananchi

Hatari ya kufanya kazi nyakati za usiku

>Zipo ajira za aina mbalimbali katika jamii zikiwamo za kupokezana (shift) na nyingine zikiwamo za  muda mrefu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Unafahamu madhara ya kufanya kazi usiku?

Wanasayansi wanasema Ubongo huchoka mapema kabla ya wakati wake iwapo watu watafanya kazi nyakati za usiku kwa muda mrefu

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Mwinuka amtaka Mkandarasi kuongeza kasi ujenzi Ofisi za TANESCO Geita

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dkt. Tito Mwinuka akiambatana na Menejimenti ya TANESCO ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa majengo ya ofisi za TANESCO Mkoa wa Geita pamoja na Wilaya ya Chato, ujenzi unaotekelezwa na  Wakala wa Majengo (TBA).

Dkt. Mwinuka amesema ujenzi wa majengo hayo ni sehemu ya jitihada za Shirika kuhakikisha linaendesha shughuli zake katika majengo yake na hivyo kuepukana na gharama kubwa za upangishaji majengo kwa matumizi za ofisi...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI UJENZI BARABARA YA MABASI MWENDOKASI MBAGALA KUONGEZA KASI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ametembelea na kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Mbagala inayogharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 200 ambapo amemtaka Mkandarasi wa Mradi huo kuongeza kasi ili mradi ukamilike na kupunguza kero ya usafiri kwa wananchi wa Mbagala.
RC Makonda amesema kwa muda mrefu wakazi wa Mbagala walikuwa wakipata changamoto ya usafiri ikiwemo foleni na wakati mwingine wananchi kuibiwa simu na mikoba wakiwa wanagombania usafiri...

 

9 years ago

Habarileo

Wahimizwa kufanya kazi kwa kasi ya Dk Magufuli

WAHITIMU wa kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira tawi la Mbeya, wametakiwa kuendana na kasi ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa wabunifu na wenye kutekeleza majukumu yao kwa tija zaidi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwa nini Magufuli hajaanza kufanya kazi?

MTU unaponunua eneo kwa ajili ya shamba au ujenzi vitu vya kwanza kabisa ambavyo unaangalia ni ki

Lula wa Ndali Mwananzela

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani